Yasemekana akiwa waziri wa nishati na madini , kati ya 1992-1994 Mheshimiwa President wetu, alishiriki kusaini mkataba nyonyaji na ovyo wa IPTL. Inaweza kuwa ndio sababu ya kushindwa kuwachukulia wenzake yale yanayoitwa MAAMUZI MAGUMU. Niambieni.
Lete ushahidi, please!
asante kwakutukumbusha hilo swala, sasa tulete issue kwanini Mwandosya ali-resign kama KM pale Nishati, kumbe haya mambo yana historia yake.Labda tuanzie kwa kujiuliza kwa nini Mwandosya ali-resign kama katibu mkuu na kurudi Mlimani wakati JK ni waziri pale Nishati na Madini?
asante kwakutukumbusha hilo swala, sasa tulete issue kwanini Mwandosya ali-resign kama KM pale Nishati, kumbe haya mambo yana historia yake.
HALAFU.....kolimba akafa kwenye kifo cha utata wakati akitoa utetezi wake, kisha.....Ni wakati huohuo IPTL inakuja nakumbuka hawa jamaa MERCHMAR walitaka kwanza kuleta meli yenye generators...halafu team ya wana CCM waandamizi wakaenda Malaysia..halafu Kolimba akasema Chama hakina dira..halafu....
HALAFU.....kolimba akafa kwenye kifo cha utata wakati akitoa utetezi wake, kisha.....