cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 497
hii ambulance ni nzuri kama ingekua imeletwa kubebea kuku.
Mungu nisaidie nisiumwe nikapakizwa humo maana sipati picha
Mungu nisaidie nisiumwe nikapakizwa humo maana sipati picha
Kaka sio hasira ial wewe mwenywee angalia eti watu wamekodisha ndege kwa miezi 47 ila hizo pesa za kukodishia unaweza kununua ndege mbili mpya za air bus. wewe kama mtu mwenye akili timamu utanunua ndege ama
Ccm hao!!
Takataka tupu!!
Huwezi kuwa ccm ukawa una akili timamu!!
Acha ukanjanja weweSister, dhahabu ilianza leo au jana? na almasi umesahau? zipo enzi na enzi, zilifanya nini? japo sasa tunaona ubunifu wa hizo ambulance ambazo zitaokoa maisha ya watu. Watu wlikufa hovyo wakati wa kuhamishiwa vijiji vya ujamaa, au umesahau?
Utakuwa ni politician by profession wewe!!!Wewe mbona unapanga nyumba kwa miaka mitano? We huoni pesa uliyotumia unaweza kujenga?
Halafu hii inabidi kuwe ma ambulance nyingine ina isindikiza kwani imekaa ki-ajali
ajali.
Wewe mbona unapanga nyumba kwa miaka mitano? We huoni pesa uliyotumia unaweza kujenga?