Waziri wa TAMISEMI kuzunguka mikoani kukabidhi magari badala ya kukaguma miradi. Je, hiyo ndio kazi yake?

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Nov 8, 2022
7,382
8,437
Waziri wa TAMISEMI bwana Mohammed Mchengerwa yeye kutwa kucha Kuzunguka Mikoani eti anakabidhi magari na Pikipiki alivyonunua Rais,Je hii ndio kazi ya Waziri?

Just imagine Tamisemi ilivyojaa Madudu,uzembe, kukosa ubunifu nk ila bwana Waziri yeye hayo hayaoni na hajishughulishi nayo isipokuwa tuu kugawa magari. Toka siku wamemaliza Bunge alianza kugawa magari Kwa Wabunge yaani ambulance na from there amekuwa akitumia Kodi za Wananchi Kuzunguka huko na kule mikoani kugawa magari.

Bwana Mchengerwa hii sio sawa unawakosea walipa Kodi,Kuna mambo ya msingi ya kushughulika nayo huko Tamisemi na ambayo ni kero Kwa Wananchi kuliko jambo hili ambalo haliwasaidii Kisiasa Wala halimjengi Rais kama wewe unavyodhani sana sana Inatoa picha kwamba Serikali inathamini magari kuliko shida zao za Afya,Elimu,maji na barabara.

View: https://twitter.com/ortamisemitz/status/1735255428647264303?t=hH4WXeTNT3Fh9zEcDBH5XA&s=19
 
Waziri wa Tamisemi bwana Mohammed Mchengerwa yeye kutwa kucha Kuzunguka Mikoani eti anakabidhi magari na Pikipiki alivyonunua Rais,Je hii ndio kazi ya Waziri?

Just imagine Tamisemi ilivyojaa Madudu,uzembe,kukosa ubunifu nk ila bwana Waziri yeye hayo hayaoni na hajishughulishi nayo isipokuwa tuu kugawa magari.Toka siku wamemaliza Bunge alianza kugawa magari Kwa Wabunge yaani ambulance na from there amekuwa akitumia Kodi za Wananchi Kuzunguka huko na kule mikoani kugawa magari.

Bwana Mchengerwa hii sio sawa unawakosea walipa Kodi,Kuna mambo ya msingi ya kushughulika nayo huko Tamisemi na ambayo ni kero Kwa Wananchi kuliko jambo hili ambalo haliwasaidii Kisiasa Wala halimjengi Rais kama wewe unavyodhani sana sana Inatoa picha kwamba Serikali inathamini magari kuliko shida zao za Afya,Elimu,maji na barabara.

View: https://twitter.com/ortamisemitz/status/1735255428647264303?t=hH4WXeTNT3Fh9zEcDBH5XA&s=19

Mkwe mwenye kifua!
 
Akiwa ziarani waziri analipwa 400,000 Kwa siku na wizara yake. Wakurugenzi hujiongeza wakishirikiana na wadau kumlipa posho, makazi, mademu, Tungi nk Hadi 1,000,000 Kwa siku
 
Hii inaondoa maana nzima ya Sunk Cost Fallacy.

It has now become an opportunistic rather unrealized gain by ChoiceVariable after loosing his Variables!

Sema tu, wewe ni Kaburu
 
Back
Top Bottom