Eti hii nayo ni ambulance?8,000,000US$ wamezitumia kukarabati VIP lounge ya eapoti.

hii ambulance ni nzuri kama ingekua imeletwa kubebea kuku.
Mungu nisaidie nisiumwe nikapakizwa humo maana sipati picha
 
Hizo ambulance ndo zilizomponza Mwakyusa kukosa uwaziri, alizikataa kumbe ni dili la pinda na jk, weeeee wakamtosa uwaziri wakampa kiazi hajj.
 
Hii kitu itadharaulika LAKINI huko vijijini instead of kubebea wagonjwa kwenye machela safari ndefu au wengine wanawabeba kwenye vitanda vya kamba (teremka. Tukaze), wengine niliwashuhudia maiti imepakiwa kwenye baiskeli (ilijengewa kiti cha kulala fulani kwa miti).

Huko vijijini hii itawasaidia kwa kiasi kizuri kuliko hali halisi ivlivyo, kuna maeneo kipindi cha mvua gari sahau kupita. Kuna maeneo barabara yaani we acha tu. Ndani ya miaka mi3 nimezungukia vijiji vingi sana tanzania hii na nimejifunza mengi mno na wanahitaji msaada mkubwa sana.

Tatizo linakuja viongozi wetu kwenye namna ya kutoa msaada wao ndio wanaweka ulaji usio na mfano, ukiulizwa fedha iliyotumika na kitu halisi Mungu isaidie Tanzania ipate viongozi waadilifu.
 
Kaka sio hasira ial wewe mwenywee angalia eti watu wamekodisha ndege kwa miezi 47 ila hizo pesa za kukodishia unaweza kununua ndege mbili mpya za air bus. wewe kama mtu mwenye akili timamu utanunua ndege ama

Wewe mbona unapanga nyumba kwa miaka mitano? We huoni pesa uliyotumia unaweza kujenga?
 
Sister, dhahabu ilianza leo au jana? na almasi umesahau? zipo enzi na enzi, zilifanya nini? japo sasa tunaona ubunifu wa hizo ambulance ambazo zitaokoa maisha ya watu. Watu wlikufa hovyo wakati wa kuhamishiwa vijiji vya ujamaa, au umesahau?
Acha ukanjanja wewe
hebu thibitisha, acha story za walevi wa komoni hapa!
 
user-online.png
Ribosome

20th April 2012 22:08
#8
Senior Member Array


<dl class="userstats">Join Date : 11th February 2012
Location : Uzini
Posts : 1,115
</dl> <dl class="user_rep">Rep Power : 479
</dl> <dl class="vbseo_like"><dt>Likes Received</dt><dd>205</dd>
<dt>Likes Given</dt><dd>139</dd>
</dl>


[h=2]
icon1.png
Re: Eti hii nayo ni ambulance?8,000,000US$ wamezitumia kukarabati VIP lounge ya eapoti.[/h] Kama si ambulance ni nini hiyo? ilikuwepo hiyo wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa?

Halafu haijakarabatiwa VIP lounge, imejengwa mpya, wacha kudanganya umma




katumwa huyu jambo lipo wazi kama ya mbuzi alafu....
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom