Eti bado inatumika, Bongo bana, khaaaa

ironing.jpg
 
Hakuna hii kitu mie huku sijaona hata kidogo huku kila kitu umeme hakuna mgao wa umeme huku mie nina miaka zaidi 20 sijawahi kuona au kusikia kuna mgao wa umeme au mgao wa maji hakuna hii kitu Mkuu hio kitu pasi ya mkaa huko huko kwenu East Africa. Mkuu gfsonwin

Mkuu MziziMkavu kukaa miaka 20 sio hoja,unaweza kukaa Tanzania the whole of your life time lakini usifike sehemu nyingine za Tanzania,jaribu kutembelea countryside za UK na Wales hizi pasi nimeziona kwa macho yangu na wanatumia mkaa wa magogo wanayotumia ku-heat nyumba mostly kwenye countryside.gfsonwin,you are right mkuu,zipo hizi pasi.
 
hatumii Pasi kama hiyo Bwana usiseme maneno ya uongo huku kuni zinatumika kufanya nyumba iwe na joto wakati wa baridi kuni hazitumiki kupikia chakula hakuna huku kila kitu umeme na Gesi pasi hizo zipo Afrika sio Ulaya bwana Mkuu KIKUNGU pasi ya umeme huku ni dola 20 sawa sawa na pesa ya machungwa TZ shs Elfu 35 Tanzania shilingi .
 
Last edited by a moderator:

Mkuu MziziMkavu,umekuwa harsh sana kwangu,niseme uongo ili iweje,sijasema kuni kwa ajili ya kupikia,bei ya pasi ya umeme is irrelavant hapa kwa sababu sio kama hawana uwezo wa kununua, la hasha.Am still insisting kwamba nimeziona kwa macho yangu,nenda countryside LAKE DISTRICT,nenda Wales kulikokuwa na machimbo ya makaa ya mawe.Just take your time kutembelea countryside kama hukukuta hata landrover 109 shortchasis zipo
 
dar-utu-masasi-mini-koymali3-jpg.jpg
utu_alacaklara_onemli_uyari_1.jpg

Pasi hizo mnaziona halafu eti tutumie pasi za mkaa wa moto kwenda zake .Pasi za mkaa wa moto zinatumika Africa na Asia sio ulaya bwana.
 
Mkuu MziziMkavu,umekuwa harsh sana kwangu,niseme uongo ili iweje,sijasema kuni kwa ajili ya kupikia,bei ya pasi ya umeme is irrelavant hapa kwa sababu sio kama hawana uwezo wa kununua, la hasha.Am still insisting kwamba nimeziona kwa macho yangu,nenda countryside LAKE DISTRICT,nenda Wales kulikokuwa na machimbo ya makaa ya mawe.Just take your time kutembelea countryside kama hukukuta hata landrover 109 shortchasis zipo
wewe unaeleza kwenye machimbo ya Makaa mimi ninasema mjini hazitumiki sijaona mjini kutumika pasi ya mkaa wa moto hiyo kitu hakuna kabisa mjini sahau kabisa you forget it Mkuu.@KIKUNGU
 
Hakuna hii kitu mie huku sijaona hata kidogo huku kila kitu umeme hakuna mgao wa umeme huku mie nina miaka zaidi 20 sijawahi kuona au kusikia kuna mgao wa umeme au mgao wa maji hakuna hii kitu Mkuu hio kitu pasi ya mkaa huko huko kwenu East Africa. Mkuu gfsonwin

naona mafagio kwa mbaaaaaaali....
 
Msiidharau wakati wa mgao wa umeme ndo mtaambua umuhimu wake.
Huku Ulaya hakuna kitu kinachoitwa Mgao wa Umeme mambo ya Mgao wa Umeme ni Tanzania ninafikiri hata Nchi jirani ya Kenya hakuna kitu hicho cha mgao wa umeme ni aibu kubwa nchi yetu kubwa kukosa Umeme na Maji Safi Kaitampunu

Steam Electric lron Machine
steam_iron.jpg
MODEL: GKSI-8 STEAM PRESS
Power Source: 220V~/50Hz 110V~/60Hz
Power: 1200W
Gross weight: 10.5kg
Net weight: 8.5kg
Package size: 61.5×21.5×56.5cm
Flat board size: 55×20cm
Quantity: 355 PCS (CONTAINER 20ft)

<tbody>
</tbody>

steam_iron_machine.jpg
MODEL: GKSI-10 STEAM PRESS
Power Source: 220V~/50Hz 110V~/60Hz
Power: 1200W
Gross weight: 17.5kg
Net weight: 13.5kg
Package size: 71×28×65cm
Flat board size: 65×24cm
Quantity: 230 PCS (CONTAINER 20ft)

<tbody>
</tbody>

steam_press.jpg
MODEL: GKSI-16 STEAM PRESS
Power Source: 220V~/50Hz 110V~/60Hz
Power: 1600W
Gross weight: 20kg
Net weight: 16kg
Package size: 87×28×68.5cm
Flat board size: 80×31cm
Quantity: 174 PCS (CONTAINER 20ft)

<tbody>
</tbody>

steam%20iron%20machine.jpg
GKSI-TQ10 Bench Steam Electric lron Machine
Technical parameter:
Reted voltage:220V
Reted frequency:50Hz
Reted power:1200W

<tbody>
</tbody>

<tbody>
</tbody>

electric_flat_iron.jpg
GKSI-T16 Bench Dry-iron Electric lron Machine
Characteristic:
The area of the iron plate is ten larger than normal iron head.
Save over half of the time of ironing clothes.
Setting auto-unattended safety file for safety operation.
Ironing knitting wool,down,silk dress material doesn't cause smooth face,and the ironed clothes are like the new.

<tbody>
</tbody>

Technical parameter:
Reted voltage:220V
Reted frequency:50Hz
Reted power:1600W

<tbody>
</tbody>

<tbody>
</tbody>

gingerking_iron_machine.jpg

steam%20press.jpg

GKSI-TQ16 Bench Steam Electric lron Machine

Characteristic:
The area of the iron plate is ten larger than normal iron head.
Save over half of the time of ironing clothes.
Heavy steam makes die-hard wrinkle disappear at once
Setting auto-unattended safety file for safety operation.
Ironing knitting wool,down,silk dress material doesn't cause smooth face,and the ironed clothes are like the new.

<tbody>
</tbody>
Technical parameter:
Reted voltage:220V
Reted frequency:50Hz
Reted power:1600W

<tbody>
</tbody>

Our companies have developed successful bottom exhaust steam electric iron machines appreciated by foreign buyers, the new type electric flat iron
equipped with fans, the moisture will rain
while iron clothing, clothing iron fast,fair,
and dry, excellent results.

<tbody>
</tbody>
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom