Hii kitu ninakumbuka mimi niliwahi kutumia hapo nyumbani Tanzania mara ya mwisho mwaka 1976 namaliza shule umenikumbusha mbali hahahahahah...................... Mbuzi Mzee
Bibie hujambo lakini?Mkuu Rose1980naona mafagio kwa mbaaaaaaali....
naku support kwa asilimia 100 mkuu,matumizi yaChini ya asilimia 20 ya watanzania ndio wanaotumia umeme. Wewe unaishi wapi mkuu mbona post yako ni kituko zaidi ya hoja uliyoitoa
Ni kweli Ndugu MziziMkavu maana hapa tunavyoishi ni kwa majaliwa tu! Husingaike kurudi we jijenge huko huko ikibidi na uraia chukua wewe na kizazi chako chote.Huku Ulaya hakuna kitu kinachoitwa Mgao wa Umeme mambo ya Mgao wa Umeme ni Tanzania ninafikiri hata Nchi jirani ya Kenya hakuna kitu hicho cha mgao wa umeme ni aibu kubwa nchi yetu kubwa kukosa Umeme na Maji Safi Kaitampunu
Steam Electric lron Machine
MODEL: GKSI-8 STEAM PRESS
Power Source: 220V~/50Hz 110V~/60Hz
Power: 1200W
Gross weight: 10.5kg
Net weight: 8.5kg
Package size: 61.5×21.5×56.5cm
Flat board size: 55×20cm
Quantity: 355 PCS (CONTAINER 20ft)
<TBODY>
</TBODY>
MODEL: GKSI-10 STEAM PRESS
Power Source: 220V~/50Hz 110V~/60Hz
Power: 1200W
Gross weight: 17.5kg
Net weight: 13.5kg
Package size: 71×28×65cm
Flat board size: 65×24cm
Quantity: 230 PCS (CONTAINER 20ft)
<TBODY>
</TBODY>
MODEL: GKSI-16 STEAM PRESS
Power Source: 220V~/50Hz 110V~/60Hz
Power: 1600W
Gross weight: 20kg
Net weight: 16kg
Package size: 87×28×68.5cm
Flat board size: 80×31cm
Quantity: 174 PCS (CONTAINER 20ft)
<TBODY>
</TBODY>
GKSI-TQ10 Bench Steam Electric lron Machine
Technical parameter:
Reted voltage:220V
Reted frequency:50Hz
Reted power:1200W
<TBODY>
</TBODY>
<TBODY>
</TBODY>
GKSI-T16 Bench Dry-iron Electric lron Machine
Characteristic:
The area of the iron plate is ten larger than normal iron head.
Save over half of the time of ironing clothes.
Setting auto-unattended safety file for safety operation.
Ironing knitting wool,down,silk dress material doesn't cause smooth face,and the ironed clothes are like the new.
<TBODY>
</TBODY>
Technical parameter:
Reted voltage:220V
Reted frequency:50Hz
Reted power:1600W
<TBODY>
</TBODY>
<TBODY>
</TBODY>
GKSI-TQ16 Bench Steam Electric lron Machine
Characteristic:
The area of the iron plate is ten larger than normal iron head.
Save over half of the time of ironing clothes.
Heavy steam makes die-hard wrinkle disappear at once
Setting auto-unattended safety file for safety operation.
Ironing knitting wool,down,silk dress material doesn't cause smooth face,and the ironed clothes are like the new.
<TBODY>
</TBODY>
Technical parameter:
Reted voltage:220V
Reted frequency:50Hz
Reted power:1600W
<TBODY>
</TBODY>
Our companies have developed successful bottom exhaust steam electric iron machines appreciated by foreign buyers, the new type electric flat iron
equipped with fans, the moisture will rain
while iron clothing, clothing iron fast,fair,
and dry, excellent results.
<TBODY>
</TBODY>
hii kidogo inaweza kufanana na pasi ya mkaa haya Compare na hii pasi ...................Mkuu KIKUNGU
Ni ukweli usemavyo lakini mimi ulaya sikupendiNi kweli Ndugu MziziMkavu maana hapa tunavyoishi ni kwa majaliwa tu! Husingaike kurudi we jijenge huko huko ikibidi na uraia chukua wewe na kizazi chako chote.
Ok wewe karibu nyumbani ila jiandae kuishia Dar peke yake kijijini husisubutu.Ni ukweli usemavyo lakini mimi ulaya sikupendi
kwasababu ya Baridi kali sana wakati wa baridi huwa ulaya ninakuchukia sana wakati wa baridi kila kitu bei ghali barafu kila sehemu huwezi kwenda na miguu umbali mrefu shida tupu hakuna hata raha kwa wakati wa baridi asikwambie mtu
nyumbani kwetu ni kuzuri kuliko ulaya. Huku ulaya ni kwa ajili ya kutafuta pesa ukipata Pesa bora urudi nyumbani. Waarabu
Wamesema ''Nyumbani ni Nyumbani Hata Kama Kukiwa ni Juu ya Mlima ni Nyumbani''. Nyumbani mimi nina kupenda ila huko
kwetu Hakuna Maendeleo hatuna Viongozi wazuri wanaoipenda nchi yao na walala hoi Watu Masikini lakini nchi yetu ikipata Viongozi Wazuri kwanini nisurudi nyumbani?Mkuu Kaitampunu
Mkuu nimeongea na Dobi wa mtaani kaniambia pasi hiyo ndiyo bomba kwa kunyooshea suti.he he he,eti inasimama kama uniform ya FFUhuko kwenye visiwa vya trinidad and Tobaco sio Ulaya ni South Amerika Amerika ya kusini. Huku ulaya hata Vijini hawatumii hiyo pasi ya mkaa imeshapitwa na wakati huku hakuna kitu kama hicho mkuu gfsonwin
Mkuu kuwa na gari si maisha mimimaisha mkuu,hata mimi ninayo,maisha tu.Sioni kama ni ajabu.Nikuulize"wenye magari wote matajiri? Vitu vingne ni hobby au maswala ya uchumi.Sijafurahishwa na post yako.
sawa Mkuu lakini mimi sipapendi Dar kuna mkusanyiko wa Watu wengi halafu hakuna Raha yoyote ile Dar Wezi wengi majambazi wa kumwaga usiku huwezi hata kutembea wasiwasi mtupu mpaka uwe na Bodyguard Dar hainifai hata kidogo mji ninaoupenda ni mji wa Arusha au Tanga Au Zanzibar au kama nikae Dar basi nikae nje ya Dar kibaha wewe unasemaje? mkuu KaitampunuOk wewe karibu nyumbani ila jiandae kuishia Dar peke yake kijijini husisubutu.
Mkuu kuwa na gari si maisha mimi
mbona huku sina gari lakini ninaishi maisha ya kawaida tu huku hakuna shida ya usafiri kuna mabasi ya speed Metro bus,kuna
Treni zinazozunguka mjini kazi yake kuchukuwa watu kuwapeleka mijini Train bus kuna mabasi ya watu binafsi Private bus
kuna mabasi ya serikali,kuna madaladala hakuna shida ya usafiri wala umeme wala shida ya maji kukatika. Hayo ndio maisha
Mwanadamu anayotakiwa kuishi sio nyumbnai kwetu huko bongo Maji shida umeme wa mgao,Usafiri shida kila kitu shida sasa
hao wanaotawala wanawatawala Wanyama sio binadamu? Hata huyo mnyama usipomuangalia vizuri anakufa haraka Mkuu jaribu
kuzungumza point usizungumze maneno ya Pumba. Binadamu anatakiwa vitu vya lazima ili aweze kuishi kibinadamu sio
Binadamu aishi kama mnyama mkuu Triple G Samahani kama nitakukwaza.
sawa Mkuu lakini mimi sipapendi Dar kuna mkusanyiko wa Watu wengi halafu hakuna Raha yoyote ile Dar Wezi wengi majambazi wa kumwaga usiku huwezi hata kutembea wasiwasi mtupu mpaka uwe na Bodyguard Dar hainifai hata kidogo mji ninaoupenda ni mji wa Arusha au Tanga Au Zanzibar au kama nikae Dar basi nikae nje ya Dar kibaha wewe unasemaje? mkuu Kaitampunu
Pasi hiyo kwa huko kwetu africa ni kitu cha kawaida ila kwa huku nje Ughaibuni ni kitu kigeni sana tena majirani wakikuona nayo watashangaa na kukuliza hii ni kitu gani? mimi siku moja niliendaMkuu nimeongea na Dobi wa mtaani kaniambia pasi hiyo ndiyo bomba kwa kunyooshea suti.he he he,eti inasimama kama uniform ya FFU
inshallah Mwenyeezi Mungu akipenda baada ya Uchaguzi wa mwaka 2015 huenda nikaja inshallah Mkuu KaitampunuOk nadhani tutapanga ukija au siyo MziziMkavu?
Reliable anytime,less costy,less risks of causing electric shocks when forgoten to be switched off,African by nature,
mbona hata ulaya zipo na zatumika?
wwe si unaishi magorofani,njoo mabwepande aone mambo yakoje!