Eti anaoteshwa?

Nimejaribu kumwambia amesema eti BWANA ATATENDA

hehehehe..kumbe ulifuata ushauri wa lara 1 lol!
By the way ukitaka kumkoma nyani giladi hususan sisi kwetu sisi mabazazi tutajie mpunga tu...yanabaki yale yale BWANA ATATENDA!!!
 
Last edited by a moderator:
You are right, sio walokole wote. Lakini nina mifano mizuri tu ambayo walokole walifanya kuoteshwa, lakini alipofanikiwa akasema lililo rohoni. Mpendwa, mbona tunaota kila siku mambo mengi mazuri/ mabaya /ya ajabu. Unaweza kuota umelala na mke wa fulani (samahani kwa mfano huu) for example, swali: utatoka na kumwambia mke wa mtu kuwa umeoteshwa naye hivyo mfanye!! Nonsense!

ndugu yangu hiyo ndoto ukiota hivo hiyo ndo nonsense yenyewe..utaotaje umelala na mke wa mtu?hilo ni pepo.... by the way htoa mada hapo juu hajasema kama yeye ni mke wa mtu au lah...na pia ukumbuke kuna ndoto zitokazo kwa Roho Mtakatifu, zingine ndoto za Kipepo na zingine ni matokeo ya uchovu na mawazo ya kibinadamu tuh (kwa mujibu wa Biblia)
 
My basic argument is, we have to be cautious na ndoto! Mimi nimeharibiwa sana na science ingawa sio mwanasayansi mkubwa, but have the basics of science. Nadhani ndoto zinaweza kuwa explained scientifically. Hivyo habari ya roho mtakatifu, pepo inaweza isi-form base ya argument zangu. Uchovu na mawazo ya binadamu inawezekana sana ukaota mambo mengi. Ukamwona msichana mzuri moyo wako ukamwangukia , ukamuota, kesho useme roho mtakatifu!!!
 
ukisikia kukosa la kuongea kwa mtu ndo hilo we mtu utaoteshaje. jamaa amekosa mistari ya kuongea kwangu ameona hiyo ndo njia ya kuja kwa nguvu na kukweleza jambo hilo. Pole sana
 
My basic argument is, we have to be cautious na ndoto! Mimi nimeharibiwa sana na science ingawa sio mwanasayansi mkubwa, but have the basics of science. Nadhani ndoto zinaweza kuwa explained scientifically. Hivyo habari ya roho mtakatifu, pepo inaweza isi-form base ya argument zangu. Uchovu na mawazo ya binadamu inawezekana sana ukaota mambo mengi. Ukamwona msichana mzuri moyo wako ukamwangukia , ukamuota, kesho useme roho mtakatifu!!!

haya ndugu the scientist..nimekuelewa..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom