Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,302
twazipenda hasaaa asikwambie mtu....mie wangu nshamkataza kutumia hayo na ametii amri!
AHH WE SHOST ..acha habari bwana..ukutane na njemba inatema km beberu ...bado utaiambia USITUMIE SPRAY BEB?
ahh labda wako atemi kikweli kweli anatema kisharobaro ..lakin km angetema km kuli wa kariakoo pale sokon ahhh ...ungekuwa unampisha njia ukimwona yuleeeeee we unageuza njia...
ushawwai kupishana na wakaka wametoka kucheza mpira...ahh mi nikonaga kundi lile laja mi fasta sanaaaaaaaa nakula kushoto...