Eti anaipenda harufu yangu.....

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
67,976
95,295
Heshima zenu waungwana.....Ilikuwa wikiendi hatari kabisa (ongeeni na TBL wafunge kiwanda kwa afya yangu LOL)

Ni hivi:

Bibi yenu amesafiri. Kilichoniacha hoi, eti ameondoka na shati langu ambalo halijafuliwa. Namuuliza kulikoni ananiambia anapokuwa mbali nami anapenda anuse shati langu ili aipate harufu yangu nafsi yake itulie. Anaipenda eti.

Hivi wanungwana, hii inaweza kuwa kweli au bibi yenu anataka kuniloga?...Kuna wengine ishawatokea hii? Eti nyie wa jinsia ya kike, huwa mnafanyaga hivyo?....Kama vipi jamani niwahi kwa Kakobe na Mama Rwakatare waniwekee kinga.

Babu anarudi kitandani kutafakari kwa kina.
Na harufu yangu.
 
hahaloooooooooooooooo halooooo babuuuu..halooo yababuuuu.....harufuuuu:fish:!!!!!!!!!!

nkweli ...akienda mbali kuwa na shat lake muhimu..sjui kwanin lakin ni km THERAPY fulan ivi km ukimmsii mtu aswa uliye nae kwenye mahusiano na mnapendana kikweli..
ni km vle kutembea na picha yake...lakin ukiwa na km shat ambalo lna harufu yake BASI HALI INAKUWA HAI ZAID...!!!!!
 
usiogope jamani...kawaida sana hususan kwa mtu unayempenda na kupenda kila saa uwe karibu nae basi kale kaharufu ka jasho lake kanakufanya unajisikia rrrrrrrrrrraha sana kama uko dunia nyingine vile
 
ni kawaida sana ni km akina kaka /bab wanopenda kutembea na VNASA vya wake zao...au mikoba ya wake zao...unaona km kweli vile upo nae...
 
hahaloooooooooooooooo halooooo babuuuu..halooo yababuuuu.....harufuuuu:fish:!!!!!!!!!!

nkweli ...akienda mbali kuwa na shat lake muhimu..sjui kwanin lakin ni km THERAPY fulan ivi km ukimmsii mtu aswa uliye nae kwenye mahusiano na mnapendana kikweli..
ni km vle kutembea na picha yake...lakin ukiwa na km shat ambalo lna harufu yake BASI HALI INAKUWA HAI ZAID...!!!!!
Aiseee

Afadhali manake nshahisi huyu bibi yenu ana mpango wa kuidhoofisha zakari, iamke kwake tu.....

Hatari sana asee.... inauma na kuumisa sana asee.
 
usiogope jamani...kawaida sana hususan kwa mtu unayempenda na kupenda kila saa uwe karibu nae basi kale kaharufu ka jasho lake kanakufanya unajisikia rrrrrrrrrrraha sana kama uko dunia nyingine vile
Aiseee....na wewe hua unachukua?!
 
Babu..............kweli una visa
Haya bana mie naogopa kusema!! (..............Una uhakika huyu bibi hajameza mtoto tumboni?)

Mi ctaki iwe maana utahamisha mapenzi Babu
 
Aseee!!!
Kumbe Mnapenda harufu ya majashooeee!!!
sasa mbona hamtuambii tuache kutumia haya ma-roll on na body spray??
 
Wanawake mna mambo !!!!!!!!!!!!!!
 
aiseeeee!......kwani kuna ubaya mkeo au mpnz wako kupenda harufu yako.......anyway mm bado sijaoa labda hapa naweza shauri sivyo....ingawa nafikiri its o.k
 
Afazali mwaego............ngoja nimtumie na jingine aburudike zaidi LOL

aisee.........:pound:
Inaumisa sana asee

Babu..............kweli una visa
Haya bana mie naogopa kusema!! (..............Una uhakika huyu bibi hajameza mtoto tumboni?)

Mi ctaki iwe maana utahamisha mapenzi Babu
Afu kuna hendikachifu yangu siioni, sijui ndo atakuwa kaondoka nayo? Siamini kama makamasi yana harufu walah LOL
 
Rose..........hiyo red hebu itafsiri kiinglish au uisome kwa sauti.

Babu yu kitandani huku.

babu jaman...KINASA/KITASA/KIFUNGO/KIFUNIKO=CHU.P.I

bib anaonekana anakupenda kweli babu na ndoa mana katembea na oltenatve kinyume chake angeenda kutafuta substute ju kwa ku

wala hana niambaya ...anakupenda kweli...

wewe UKISAFIRI UWA UNABEBA NINI CHAKE?
 
Aiseee....na wewe hua unachukua?!
Dada mbishi akiwa kazini...........

Aseee!!!
Kumbe Mnapenda harufu ya majashooeee!!!
sasa mbona hamtuambii tuache kutumia haya ma-roll on na body spray??
Hahahaha.... kweli asee....kumbe haya madude tunapoteza hela zetu tu. Heri tujimwagie biya.

Wanawake mna mambo !!!!!!!!!!!!!!
Umeona eh?

aiseeeee!......kwani kuna ubaya mkeo au mpnz wako kupenda harufu yako.......anyway mm bado sijaoa labda hapa naweza shauri sivyo....ingawa nafikiri its o.k
Hakuna ubaya. Nlitaka kujua tu isije ikawa waifu kageuka kigagula.....

twazipenda hasaaa asikwambie mtu....mie wangu nshamkataza kutumia hayo na ametii amri!
Agrrrrrrrr....kumbe ushaolewa! Nshakasirika !!!
 
babu jaman...KINASA/KITASA/KIFUNGO/KIFUNIKO=CHU.P.I

bib anaonekana anakupenda kweli babu na ndoa mana katembea na oltenatve kinyume chake angeenda kutafuta substute ju kwa ku

wala hana niambaya ...anakupenda kweli...

wewe UKISAFIRI UWA UNABEBA NINI CHAKE?
Hahahhahaha.......we ni mkareeee........ mi natinga andawea yake kama Beckham! (Maswali mengine hayana adabu LOL)
 
Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom