Eti anaipenda harufu yangu.....

hahahaaa ni anapenda mkuu tehe

phheewwww, bora umeiweka sawa hiyo...akili yangu ilishapiga 'overtake' tena kwenye kona speed 120 nikawa najisemea huyu ana maanisha 'machozi' sasa,....aarrrgghhh...haya bana. Turejee kwa mada, sredi isijepelekwa jukwaa la maria roza.
 

....'urogwe'
mara ya ngapi nawe? majuzi tu ulikuwa unashereheka hapa anniversary,...kubali matokeo!
Hata simu yaongezewa "chaji" sembuse penzi?...
Hivi ulikuwa wapi siku zote? Na kwanini kila posti yako lazima Mwanajamii1 anakugongea LIKE.

Nafanya utafiti nikigundua ntakuambukiza malaria.
 
Tamu ya chai sukari,
Babu inaelekea bibi umemlewesha raha mpaka kukusahau imekua mtihani.
Umeona eh? Kwa hiyo bibi kanogewa siyo? Ntamaliza wiki bila kuoga ili afurahie zaidi

Mimi sijambo rafiki. Hongera ya kumtendea mema bibi. hivi unafikiri ungekuwa dikteta kwake angekumiss???
Hili ndilo Neno La Mungu.



Huwa inatokea pia kwa wamama wajawazito, kuna ambao wanapenda kula maembe, ubuyu wengine kunusa nguo za wenzi wao. Ila sidhani kama bibi yetu yuko na hali hii.
Ahaa........afu khaa... na umri ule atamezaje mtoto? umri kwishaenda!

We jiandae tu kuwa zezeta muda si mrefu
Hili ndilo neno la Lusuferi, Sheitwain.........Lishindwe na lilegee
 
hah dah umenkumbusha kuna baba mmoja ivi zamaaaaaaaaan .alikuwa anaitwa baba koku..ana tumbo kuuuubwa sjui kitamb aya
dah mwanaume yule alikuwa anavaa gagulo la mke wake nakwambia....akiamka asubui kupiga mswak uku kavaa taulo basi kitaulo asi knapeperuka kdg ...kikiperuka tu lazima uone kigagulo cha mke wake mwenyewe hana wasi wasi anaenadelea tu kuswaki chwaaaaaaaa chwaaaaaa...ahh ilikuwa raha kipind icho cha utoto tena wailes pale ahh yaan unafanya kumvizia yeye tu akienda kupiga mswak na weewe unatafuta wwa kwako ili upate burudan asubui ya kumuona mding katinga gagulo!!!!!!


lol..bora hata hiyo gagulo,
sipati picha kidume kama kingekuwa nacho kinatinga ''g string/thong''
sijui ingekuwaje tu....lol...?
 
Hivi ulikuwa wapi siku zote? Na kwanini kila posti yako lazima Mwanajamii1 anakugongea LIKE.

Nafanya utafiti nikigundua ntakuambukiza malaria.

..."nadhani" nae anaipenda harufu yangu...
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
 

..."nadhani" nae anaipenda harufu yangu...:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:


hah ha ha ha ha ah aha ha aha ha,
haya bana waarabu wa pemba..........................!!!!!
 
Harufu ya Mbu? Khaa!

Sijui nlikuwa wapi siku zote...........?

ila ujue kuna mwanajamii1, na kuna mwanajamiiOne humu...mimi nimesema "nadhani" kwani sina uhakika ni yupi
uliyembaini...LOL!

mbu mie nanukia marashi ya karafuu,...huwezi jua!
 
Ni sawa Babu hiyo haina shida kabisa.
Babu na umri wote huu ulionao kwanini akuroge ..?
Ni mapenzi tu hayo ya uzeeni
 
mi nilidhani anatumia YU....teh teh teh...
hivi kati ya YU na Yolanda yepi yana manukato makali?

YU ina harufu kali saaaaaaaaana ..Yolanda angalau kidogo ina ka harufu kazuri kwa kipindi kile ..
Ila ile Gift of Zanzibar inafaa .
 

ila ujue kuna mwanajamii1, na kuna mwanajamiiOne humu...mimi nimesema "nadhani" kwani sina uhakika ni yupi
uliyembaini...LOL!

mbu mie nanukia marashi ya karafuu,...huwezi jua!
We lazima nikulipizie kisasi. Huwezi nichukulia mjukuu mtiifu bila hata mahari........ afu anaipenda harufu yako!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ni sawa Babu hiyo haina shida kabisa.
Babu na umri wote huu ulionao kwanini akuroge ..?
Ni mapenzi tu hayo ya uzeeni
Si unajua tena........... kaumri keshaenda haka, haya mambo nlifikri wanafanya vijana tu. LOL
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom