Escrow yazidi kuvimba: CHADEMA wampatia kibarua kizito Rais Kikwete kuelekea Hotuba yake kesho

Mtaongea mengi ila ukweli ni kwamba CHADEMA kinatumika na mafisadi wanaotaka kubaka rasilimali za nchi hii kwa kigezo kuwa ni wazalendo
nilijua tu lazima ujipendekeze kwenye huu waya wa umeme......fisi we, utakuwa miongoni mwa wanufaika wa fedha haramu
 
Kwa nini chadema wanalazimisha Maswi na Muhongo wafukuzwe eti kwa vile tu wana ugomvi na mfadhili wa wachagga?
 
Chadema acheni unafiki wenu mbona Mkombozi Benki ambayo imehusika kutakatisha pesa za ESCROW mnaogopa kuitaja au kwa sababu benki ya Kanisa, mnaitaja Stanbic Bank peke yake, halafu ndiyo mnajifanya watetezi wa Watanzania huku mnalinda Kanisa lenu, taifa la wanafiki ni shida.
 
Tegeta Escrow na kiwe kipimo cha uaminifu na uadilifu wa watawala wetu waliokwisha tuasi kutuongoza kitambo!
 
I wish wangejua kuwa ni little too late kuja na DAMAGE Control programme! A moment Jumuiya ya Ulaya ilipoingilia kati, A moment IMF na WB walipoanza kuinyooshea CCM kidole Tayari Agents wao walikuwa wameshawasilisha substantial evidence kuwa Serikali imewekwa mfukoni na wajanja wachache sana!!! I wish wangemjua Ndullu, Tibaijuka, Muhongo vizuri... Hao ni EHM walioandaliwa wakapikwa na kupikika kwa hisani ya watu wa Taifa lenye Nguvu nyingi Duniani!!! Hapa JK anapaswa kuchinja bila kuangalia hata kidole chake mwenyewe maana madhara ya kutokuchinja itakuwa kubwa Zaidi!!! Lazima aelewe kuwa Mbwa aliepatwa kichaa hata kama alikuwa anampenda vipi lazima auawe tu! Hakuna Suluhu kwenye hili la ESCROW!!! Werema ibin Tumbili hawezi kuwa eti ndie wa kulaumiwa na kubebeshwa msalaba wa Ndullu, Muhongo, Brella, Pinda et al ... Lazima waachie ngazi na kufikishwa mahakamani kama Prof Mahalu....
Kipenga kimelia na game inaanza. Hii ni lasi tu ya kwanza baada ya kipenga,tungoje kesho tuone Rais anampasia nani. Nawahakikishia wananchi wote wa Tanzania yetu wote. Safari hii nio vigumu sana Serikali kuvuka hapa hatra kama itachukua miaka. Inawezekana Raisi kaagiza documents zaote zinyofolewe na vieo footage zote ziteketezwe nakuchukua takriban mwezi akiwa kimya kwa madai ya uchunguzi (ulio kwisha fanywa) ili hayo yakamilike. Lakini asidhani watanzania ni wajinga hadi wafadhili kuingilia, Kuna back up copies. Shauri yako Mhh Rais, bora kuomba radhi kuliko kudhani sisi wajinga then eventually unaabika.
 
Mmmh, hizi siasa hizi!

Maswali ya kuhusu Stanbic walitakiwa wajumbe wa PAC ndiyo wayapatie majibu lakini kwa sababu nia na dhumuni lao kuu lilikuwa ni kuhakikisha Viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini pekee ndiyo wanawajiba, waliamua kukaa kimya.

Kwa sasa baadhi ya wabunge ambao ndiyo chimbuko la hoja kuhusu Tegeta Escrow a/c kama Mhe, David Kafulila wameanza kuwasafisha hata Maaskofu waliopokea pesa zenye utata.

Katika bunge, nilimsikia Tundu Lissu akiwataka wawajibike Viongozi wakuu wa Wizara ya Fedha, Gavana wa BOT na baadhi ya maofisa wa Ikulu, wakati Kamati ya PAC ilikuwa kimya, na hata wabunge wengine pia waliamua kuwa kimya.

Hivi mtu anapokuambia kuna watu walichukua pesa kwa kutumia magunia na mifuko ya Lambo, swali ambalo utamuuliza baadaye, ni kina nani hao?

Mtu anakuambia walitumia gari zenye namba za serikali, swali utakalo muulize linakuwa, namba zipi?

Ndiyo maana niliuliza swali katika thread hii.

 
Chadema mbona benki ya Kanisa Mkombozi Benki mnaogopa kuitaja kama moja ya benki iliyohusika kuficha fedha za walalahoi, mnaitaja tu Stanibic bank wakati hizi benki zote ni adui wa Watanzania, mnaogopa kuitaja benki yenu ya Kanisa.
Mkuu, hata mie nawashangaa sana. Wanatumia nguvu nyingi kuisafisha benki ya Mkombozi huku wakitumia nguvu hiyo hiyo kuichafua Stanbic.
 
Mmmh, hizi siasa hizi!

Hata maswali ya kuhusu Stanbic walitakiwa wajumbe wa PAC ndiyo wayapatie majibu lakini kwa sababu nia na dhumuni lao kuu lilikuwa ni kuhakikisha Viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini pekee ndiyo wanawajiba, waliamua kukaa kimya.

Katiba bunge, nilimsikia Tundu Lissu akiwataka wawajibike Viongozi wakuu wa Wizara ya Fedha, Gavana wa BOT na baadhi ya maofisa wa Ikulu. Kamati ya PAC ilikuwa kimya, na hata wabunge wengine pia walikuwa kimya.

Hivi mtu anapokuambia kuna watu walichukua pesa kwa kutumia magunia na mifuko ya Lambo, swali ambalo utamuuliza baadaye, ni kina nani hao?

Mtu anakuambia walitumia gari zenye namba za serikali, swali utakalo muulize linakuwa, namba zipi?

Ndiyo maana niliuliza swali katika thread hii.
Hapo ndipo walipokosea akina Zitto. Shauku yao ilikuwa kuwawajibisha Muhongo, Maswi na Werema kwa vile walishakula cha mtu. Maazimio ya bunge ni ya kipuuzi kuweza kutokea
 
Mkuu, hata mie nawashangaa sana. Wanatumia nguvu nyingi kuisafisha benki ya Mkombozi huku wakitumia nguvu hiyo hiyo kuichafua Stanbic.
Ili tamko la Chadema la kipuuzi sana utaacha vipi kuitaja Mkombozi Benki, kwenye sakata la ESCROW, wakati kwa mujibu TAKUKURU watu walikuwa wanasomba pesa kwa viroba, Chadema ni wanafiki wakubwa wapo nyuma ya Kanisa labda padre Slaa kawaonya wasiitaje Mkombozi Benki ni ya Kanisa.
 
Mkuu, hata mie nawashangaa sana. Wanatumia nguvu nyingi kuisafisha benki ya Mkombozi huku wakitumia nguvu hiyo hiyo kuichafua Stanbic.

Mkombozi waliohawiwa wametajwa lakini stanbick ndio marumbesa na magunia aliyobeba Albert Marwa haikutajwa.



"RAISI KAZI YAKE NI KUCHEKA CHEKA TUU"
 
Back
Top Bottom