ErickB52 Kakamatwa Mwanza

Jamani mwenye taarifa zaidi atujuze, ni tetesi nimezipata kwa mtu wangu wa karibu...

Mara ya mwisho alionekana hotel ya Gold Crest katikati ya jiji la Mwanza akiwa na jimama la ukweheh!! Anakula raha kijana! Kama amekamatwa itakuwa ni hujuma tu....
 
Huyu anatuhuma nyingi sana ya kutembea na wake za watu! Kaa nae mbali kabisa maana hakawii! Akijua tu upo na mimi, utamuana huyo!! Acha wampe displine kidogo.
Mzima wewe!

Ha ha ha !!Kumbe ndio zake? Basi mie ntakaa naye mbali haswaa!!!Akiniambia vitu vya kikubwa ntamuambia umenikataza!!!
Niko poa,weekend ndio inaanza kesho hivyo!!!
 
Ha ha ha !!Kumbe ndio zake? Basi mie ntakaa naye mbali haswaa!!!Akiniambia vitu vya kikubwa ntamuambia umenikataza!!!
Niko poa,weekend ndio inaanza kesho hivyo!!!

Good wife! Ukae nae mbali kabisa. Halafu akirudi Arusha lazima tumwadhibu kwa aibu aliyotuletea!
Wk end hii usijali. Nitakupeleka club 63 kisongo, ukale raha karibu kabisa na ngurumo ya upako!
 
Good wife! Ukae nae mbali kabisa. Halafu akirudi Arusha lazima tumwadhibu kwa aibu aliyotuletea!
Wk end hii usijali. Nitakupeleka club 63 kisongo, ukale raha karibu kabisa na ngurumo ya upako!

Weraa,thanks hubby!!!Nasubiria huo mtoko kwa hamu!!!
 
UYO LZM NO MUHUNI ILO JINA LAKE TU LIMENISTUA B52 NDEGE ZA KIMAREKANI IZO. LZM KAPAMBANA WAHUNI WENZAKE WAMEMSWEKA NDANi
 
Back
Top Bottom