Wakuu Progress ya Mradi wa Reli ya SGR umefikia wapi?

Roadmap

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
2,898
5,797
Nimeshtuka usiku wa Manane leo Nikaanza kuwaza juu ya mradi Mkubwa kabisa wa Reli ya Mwendokasi SGR, Kwa mtazamo wangu wa haraka ni kama mradi umesimama na hatujui nini hatma yake?
Mwenye taarifa tafadhali atujuze sisi walipa Kodi
 
Unaweweseka kwa miradi ambayo haina mchango wowote kwenye maokoto yako.
Bila aibu unasema umeshituka usiku wa manane.

Worry about your shit.
 
Nimeshtuka usiku wa Manane leo Nikaanza kuwaza juu ya mradi Mkubwa kabisa wa Reli ya Mwendokasi SGR, Kwa mtazamo wangu wa haraka ni kama mradi umesimama na hatujui nini hatma yake?
Mwenye taarifa tafadhali atujuze sisi walipa Kodi
Wenye biashara ya mabasi wana nguvu kuliko serikali
 
Usiwe na wasi kijana na jitahidi kusali Sana ili kupunguza hayo mang'amung'amu wakati wa usiku,,,kuhusu mradi njoo hapa baada ya miaka 15 utapata majibu sahihi(kama tukijaaliwa afya na uhai pia).
 
Nimeshtuka usiku wa Manane leo Nikaanza kuwaza juu ya mradi Mkubwa kabisa wa Reli ya Mwendokasi SGR, Kwa mtazamo wangu wa haraka ni kama mradi umesimama na hatujui nini hatma yake?
Mwenye taarifa tafadhali atujuze sisi walipa Kodi
Vinangojwa vichwa na mabehewa yakamilike uanze kazi phase l.
 
Nimeshtuka usiku wa Manane leo Nikaanza kuwaza juu ya mradi Mkubwa kabisa wa Reli ya Mwendokasi SGR, Kwa mtazamo wangu wa haraka ni kama mradi umesimama na hatujui nini hatma yake?
Mwenye taarifa tafadhali atujuze sisi walipa Kodi
Phase 1: 91%
phase 2: 97%
Phase 3: <20%
Phase 4: bado kuanza
Phase 5: bado kuanza

Mpunga umekatata kabisa.

Reports zinasema Dr Mwigulu mwezi uliopita alikuwa Ulaya Sweden, Spain kutafuta Wafadhili( mikopo) na Kamtuma Saada Mkuya kwenda Bank of Africa sasa sijui itakuwaje.
 
Ila huu mradi unaifilisi nchi eti! Na hata utakapoanza, hata siamini kama utakuja kupunguza haya machungu wanayopitia wananchi masikini.
 
Back
Top Bottom