Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,649
- Thread starter
- #21
Mbona ni Mzima tu?
mzima uko naye? No risachi no raiti tu spiki
Mbona ni Mzima tu?
muulize Elizabeth Dominic
Usiusemee moyo mdada huyo C6 unajua yuko wapi?
Huna lolote Bishanga, tunajua yeye ndie kiboko yako. Na ikiwa kweli kakamatwa basi zitakuwa ni njama zako Bishanga!
Kwi kwi kwi kwi.......ngoja nifowadi hii post selo aliko eriki.Kahaba kumjua kahaba mwenziye sio ishu
Erick unamjua unamsikia?
haaaaa atakua alifumaniwa tu....
Kwi kwi kwi kwi.......ngoja nifowadi hii post selo aliko eriki.
dah! bora wamemkamata maana na yeye kazidi!
kwa taarifa zilizopo ni kuwa kakamatwa na jimama kawekwa ndani
watu wanavamia tu majiji ya watu, eti watu wa Mwanza wakarimu, wakarimu ndio hadi uwachezee sharubu.
Fanya maarifa bepari la kihaya kijana atoke sero
kwanini amekamatwa?