ErickB52 Kakamatwa Mwanza

Huyu Erickb52 ana roho ya kukataliwa hasa na marafiki wa kiume! Angekuwa wakike sijui kama angeolewa!?
 
Yaani hapa nimechoka, ndio tumemaliza centro hapa jamaa kaachiwa kwa masharti ya kutoondoka Mwanza hadi amalize ishu mi nimerejea zangu home nimewaacha kwenye taxi na charminglady, wameniambia sijui wanaenda tafuta gesti. Nshajichokea

Eliza Eliza Eliza...! Unataka C6 anitunge busha? Yan ndo nashtuka halafu sijajua niko wapi. Ngoja charminglady aamke nimuulize tuko wapi
 
Last edited by a moderator:
Huyu Erickb52 si ameonekana jana usiku akiingia kwenye hotel inayodaiwa kumilikiwa na riz na mwanadada aliyetambulishwa kama charminglady? Au Charminglady ndio mke wa Kamuhanda maana nasikia nae yupo mwanza kimapumziko. Sweetest lolito jeneneke upo mpenzi. Missin u honey
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom