Ephrahim Kibonde ana CHEO gani CCM?

nilitaka kushangaa ishu ya kibonde NN usichangie yule jamaa ni kama mtu wa nyota usipozifuata hazikuongozi ila ukizifuata zinakuongoza kwa hiyo sasa na kibonde ndivyo hivyo..akili kumkichwa na hayo tu..

Kama Kibonde anawachefua hivyo je tungekuwa na sampuli za kina Sean Hannity ingekuwaje? Kibonde is nothing....

Uzuri ni kwamba havunji miiko yoyote ya fani yake. He is very much in line. It is just a matter of you people understanding that the news business is not only about reading the news off the teleprompter or paper script. You do have some opinion shows also.
 
Kwani lazima msikilize clouds? Mnasema pilipili kali huku mnaendelea kuila. Poor minds
 
kibonde ni **** tu hajui uandishi wala hawezi kuchambua mada yeye akalie sifa tu za kulazimisha kwa kujifanya anajua kila kitu. Kuna siku nilimsikia kabisa akitukana akiwa hewani na bado hata jukwaa la wahariri au vyombo vinavyoshughulikia maadali ya vyombo vya habari navyo vilikuwa kimya kabisa. Pale clouds hana muda mrefu kwani tayari ameshazeeka. List ya waliozeeka ni nyingi akiwemo gerald hando, paul james na wengine ambao wameshavuka umri wa kufanya kazi clouds.
hapo kwenye **** ulitaka kusemaje? Tenganisha herufi na nukta tutakuelewa tu ila ukila ban usinitaje
 
Kibonde apate cheo gani, yule jamaa ni njaa tu. Vuvuzela linalotumika bila kujijua. Mtu mwenyewe si mnaona litumbo lake linazidi kuwa kubwa au ARV's zinafanya kazi zaidi? Yaani ananitiaga kichefchefu. nikimsikiaga nazima redio. Ovyo kweli kibonde, ila wasubiri CCM itoke.

kwani ni lazima akisifie chadema ndio awe mtu safi?
 
eti jamaa sio r....k na kuhusu hiyo lugha ya mayai iyacheni kama ilivo maana sasa wana jf mutazua mapya je mushamuona jk ooh aibu mayai noma ukiyashika vibaya yanavunjika.
Conquest- kibonde anatafuta pesa za kunywea bia pale bambucha m;mnyala ndiyo kijiwe chake.
fool is fool not wise
 
Huyu kibonde ni mwnch wa ccm na nafanya kazi ktk radio ya ccm sa unategemea nini zaidi kutkn na hali hiyo nashauri makombati cdm waanzishe gazeti lao watakalokuwa na viopindi vya kupiga debe
 
Kama Kibonde anawachefua hivyo je tungekuwa na sampuli za kina Sean Hannity ingekuwaje? Kibonde is nothing....Uzuri ni kwamba havunji miiko yoyote ya fani yake. He is very much in line. It is just a matter of you people understanding that the news business is not only about reading the news off the teleprompter or paper script. You do have some opinion shows also.
We kiazi kweli umetumwa na mabwana zako kibonde angesifia basi na vyama vingine na si kuongea pumba za magamba tu kila siku maswali anauliza hayana kichwa wala miguu juzi alimhoji nape utadani anauliza watoto wa vidudu na nape naye alivyo akajibu kama chei chei shangazi alafu unasema ooh fani nyamabaffff
 
We kiazi kweli umetumwa na mabwana zako kibonde angesifia basi na vyama vingine na si kuongea pumba za magamba tu kila siku maswali anauliza hayana kichwa wala miguu juzi alimhoji nape utadani anauliza watoto wa vidudu na nape naye alivyo akajibu kama chei chei shangazi alafu unasema ooh fani nyamabaffff

mbona hapo hajaitetea CCM mkuu? tatizo hujamuelewa.
 
Back
Top Bottom