Enzi zetu

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
attachment.php
 
Zipi hizo? cc wenzio enzi zetu hata calculator ilikuwa hairuhusiwi kwenye mtihani, wewe sijui niwa enzi ipi?

Kweli mkuu, vijana wa siku hizi hata slide rule na vitabu vya logarithms hawavijui. Siku hizo kama hujui hujui tu.
 
zipi hizo? Cc wenzio enzi zetu hata calculator ilikuwa hairuhusiwi kwenye mtihani, wewe sijui niwa enzi ipi?

siku hizi zinatumika na mitoto inafeli kama kawaiada
 
Enzi zetu kalamu nzuri ilikuwa BIC na Daftari nzuri ni Sungura................. Computer hata Ofisini hazikuwepo. Ukiwa nje ya ofisi utajua tu huko kuna dada anachapa barua ni Typriter tu. Karatasi nzuri zilikuwa zinatoka Kiwanda cha karatasi Mufindi!!!!!! Viatu ni Chachacha!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom