Half american JF-Expert Member Sep 21, 2018 26,235 68,595 Apr 7, 2023 #2 Kuna lile jicho la mama lenye sauti isiyosikika, akikukata unaelewa tu leo mgeni akiondoka utakoma.
Atoto JF-Expert Member Jul 19, 2013 82,151 159,076 Apr 9, 2023 #7 taamu said: Wamama walipokuwa wamama. Click to expand... Na wababa walipokuwa wababa.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Apr 9, 2023 #8 Enzi maisha yalikua na ladha halisi
KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 26,225 56,888 Apr 9, 2023 #9 Mliishinda wapi wakati wengine mpk mlitolewa minundu..😁
taamu JF-Expert Member Dec 11, 2012 10,158 8,046 Apr 9, 2023 #10 Atoto said: Na wababa walipokuwa wababa. Click to expand... Jamii iliyostaarabika ikakamilika kike na kiume.
Atoto said: Na wababa walipokuwa wababa. Click to expand... Jamii iliyostaarabika ikakamilika kike na kiume.