Enzi za uchumba wetu

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,389
1,131
Jamaa mmoja alimwambia mkewe
"Honey unaonaje tujikumbushe zile
enzi za uchumba wetu?"
Mke akakubali kwa kusema " Sawa si
vibaya" Jamaa akamwambia mkewe
"Basi kesho tukutane saa 4 garden"
Mke akakubali.
Siku ya pili Jamaa akafika garden
akamsubiri sana mkewe kwa masaa
mawili lakini hakutokea.Aliporudi
nyumbani akamuuliza "Mbona
hukutokea? Mke akajibu "Mama
alinikataza nisitoke"
 
We acha tu, hapo mume lazima ufyume domo hata kujisema huyu lazima hanipendi.
 
Yah mke alifanya kweli ningekuwa mimi ningempa big up my wife coz sh wud b b0nge la actor
 
Back
Top Bottom