enzi hizo tukiwa shule ya msingi au sekondari

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
70,985
93,995
attachment.php


Enzi hizo ukiwa "Time keeper" au mtunza muda unakuwa unapata heshima kama tu ilivyokuwa kwa viranja, utaalamu wa kubuni aina ya ugongaji kengele "rim ya gari" kwa ufanisi na madoido ndio ilikua ni ujanja kinoma...
 

Attachments

  • kengele.jpg
    kengele.jpg
    70.8 KB · Views: 531
mkuu umenikumbusha mbali sana, moja ya kumbukumbu tamu ktk maisha.
 
Aiseee baba yangu umenikumbusa karne ya 18 kwani haya mambo bado yapo karne hii

ngoja nikachume kahawa
 
..... hivi time keeper alikuwa anananuliwa saa na shule ?

kigezo kilikua ili uwe time keeper lazima utafute saa...enzi hizo zilikua ni zile saa za kuwaka waka "disco"
 
yule mwanafunzi mtoro zaidi, alikuwa anakabidhiwa kazi ya time-keep , yaani asipokuwepo tu , mwalimu mkuu anajua kirahisi sana
 
ilikuwa ikigongwa hiyo ni hataree coz yale mambo ya ukaguzi ndo yanaanza,tusio na soksi sasa weeeeeeeee,
 
hahahahahahah lol umenikumbusha
mi nilikuwa "timekeeper" shule ya sekondari Gidas miaka hiyo lol
 
Back
Top Bottom