Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,211
- 3,041
- Thread starter
- #101
Torres anaingia sasa
Hakuna mchezaji zaidi ya Arshavin huku Goooooners?
Mtake msamaha huyu Mchungaji yuko Darajani!
anakuja au anakun*a?van persie anakuja.
mchungaji nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana....
Ars hizo yebo yebo zinaboa..@Wacha1, picha please..
De Novo popote alipo atafurahi na ushindi huu,atleast ni Liverpool fan niliyem-note JF..
na ndio kwanza AW kaongezewa miaka mingine ya kuendeleza yebo yebo zake kwa vile board members wanapata faida wao hawajali mafanikio ya timu ndio maana nikasema "tuko kibiashara zaidi".Ars hizo yebo yebo zinaboa..
Uchokozi huo alipotelea kwenye kura za maoni!
na ndio kwanza AW kaongezewa miaka mingine ya kuendeleza yebo yebo zake kwa vile board members wanapata faida wao hawajali mafanikio ya timu ndio maana nikasema "tuko kibiashara zaidi".
Arshavin jamani jamani hivi alikuwa world cup?
mh, naskia barriiiidi
Arshavin jamani jamani hivi alikuwa world cup?
Kumbee eeh, ina mana huo uzi mtakuwa mnautinga sana kwa season hii?!!! basi mpo kibiashara zaidi na wewe prof huna wasiwasi salary inaingia kama kawa..too bad leo fans wengi watakuwa wamehuzunika!