Barclays Premier League 2009 - 2010

Eqlypz

JF-Expert Member
May 24, 2009
4,065
632
Naam, waheshimiwa zimebaki siku kumi tu msimu wa 2009/10 wa ligi ya Uingereza uanze.

Mechi siku ya ufunguzi ni kama ifuatavyo
August 15th
Chelsea v Hull City - Stamford Bridge
Aston Villa v Wigan Athletic - Villa Park
Blackburn Rovers v Manchester City - Ewood Park
Bolton Wanderers v Sunderland - Reebok Stadium
Portsmouth v Fulham - Fratton Park
Stoke City v Burnley - Britannia Stadium
Wolverhampton Wanderers v West Ham United - Molineux
Everton v Arsenal - Goodison Park

August 16th
Manchester United v Birmingham City - Old Trafford
Tottenham Hotspur v Liverpool White Hart Lane

August 18th
Sunderland v Chelsea - Stadium of Light
Wigan Athletic v Wolverhampton Wanderers - JJB Stadium

August 19th
Birmingham City v Portsmouth - Andrews Ground
Burnley v Manchester United - Turf Moor
Hull City v Tottenham Hotspur - Kingston Comms Stadium
Liverpool v Stoke City - Anfield

Source
 
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=_LqJguF1Hkc"]YouTube - Broadcast Yourself.[/ame]
 
Chelsea lazima ndo mabigwa si tupo! Wana jamii kuna zaidi ya hawa vijana wa Stamford bridge?
Hatujaongeza majina ila kikosi kimetimia kamili.
 
Chelsea lazima ndo mabigwa si tupo! Wana jamii kuna zaidi ya hawa vijana wa Stamford bridge?
Hatujaongeza majina ila kikosi kimetimia kamili.

hahaha mvina..hamjaongeza majina sio na Carlos Ancelloti sio jina lile si mngemuacha Scolari basi
 
mie bado nawasubiri washabiki wa soka humu waje kwenye jamiiforum fantasy league group id 696 password tanzania hio ni fantasy ya yahoo.nashangaa kuona mashabiki wasiopenda fantasy nimechoka kushindana na washabiki wa nchi zingine ni vizuri mkiwa mnajuana.karibu masela bado siku tisa tu.
 
Mimi naamini kuwa timu ambayo 'ipo tayari' mwanzoni mwa msimu ndio huchukuaga ubingwa. Kwa nionavyo msimu huu timu mbili zilizo tayari ni Chelski na Man Utd. Timu nyingine bado kwa kweli, hazipo balanced.

Na nadhani timu za Arsenal & Liverpool zitapata wakati mgumu zaidi maana zijiandae kupoteza point zaidi kutoka kwa hizi timu tatu zinazojiimarisha hivi sasa, Everton, Aston Villa na Man City.
 
nitakukumbusha maneno yako mkuu
 
Komamanga usije tafadhali ukanikumbusha ya Scolari acha hiyo kitu.Kama jina mkuu basi ni hilo moja Utalinganisha na City au Real?
 
prem-WAR-top.jpg

Haya wadau yamebaki masaa Premier League ianze.
 
Manu watachukua tena. Liverpool wao huwa wanapoteza points kwenye mechi ambazo mnategemea watashinda-ni stori ya kila mwaka. Gerrard au Torres akiumia ndio basi tena. Chelsea ..naona watakuwa wanacheza italian style..pasi na kudefend sana..hivyo tegemea draws nyingi sana!!

Ila naona Mancity watakuwa tishio....wana squad nene!!
 
Yeah, ni kweli Man City wana squad nene ila sasa uwanjani wanacheza watu 11 sasa sijui maana cruz, tevez, adebayo, robinho, bellamy, benjani hao striker tuu kazi kweli kweli yaani natabiri Mark Hughes anaweza kuwa kocha wa kwanza kutimuliwa unless otherwise
 
Mark Hughes hana uzoefu wa kuchukua ubingwa, Man City wakitaka ubingwa walete kocha mwingine.
 
hivi naruhusiwa kutangaza game yoyote live humu ? lol yani kufungua post ya chelsea vs hull city na kadhalika? mapema mno lakini matokeo hapa chelsea 0 hull city 1.
 
Tevez licha ya kukimbilia Man City, bado anakula bechi tu; tena mechi ya leo hayupo kwenye list kabisa. Masikini, angekubali kubaki OT tu.
 
Tevez licha ya kukimbilia Man City, bado anakula bechi tu; tena mechi ya leo hayupo kwenye list kabisa. Masikini, angekubali kubaki OT tu.

hahaha..alichemsha kwenye maamuzi ingawa kacheza kipindi cha pili... ILA KI UKWELI MSIMU UMEANZA VIZURI NA KWA KISHINDO SANA MPK INAOGOPESHA ILA MWISHOWE BINGWA ANAJULIKANA NDIO RAHA YA LIGI YA UINGEREZA
 
Last edited:
Arsenal wameanza kwa kishindo hawa Everton mara ya mwisho kufungwa 6-1 nyumbani ilikuwa mwaka 1958 na waliowafunga ni hao hao Arsenal. Aston Villa naona wameshtushwa na kichapo leo, Man City mwanzo mzuri tuone kama watakuwa na consistency mpaka mwisho wa ligi.
 
Duh, naona msimu umeanza vizuri hamna suluhu au droo..ni vipigo tu..Lile goli la kwanza yule yanki wa Wigan mi nadhani linastahili kuwa goli la Matchday One. Wazee mwaonaje?
 
Back
Top Bottom