English Premiership: 2010-2011

Ars hizo yebo yebo zinaboa..@Wacha1, picha please..
De Novo popote alipo atafurahi na ushindi huu,atleast ni Liverpool fan niliyem-note JF..
 
na ndio kwanza AW kaongezewa miaka mingine ya kuendeleza yebo yebo zake kwa vile board members wanapata faida wao hawajali mafanikio ya timu ndio maana nikasema "tuko kibiashara zaidi".

Kumbee eeh, ina mana huo uzi mtakuwa mnautinga sana kwa season hii?!!! basi mpo kibiashara zaidi na wewe prof huna wasiwasi salary inaingia kama kawa..too bad leo fans wengi watakuwa wamehuzunika!
 
Kumbee eeh, ina mana huo uzi mtakuwa mnautinga sana kwa season hii?!!! basi mpo kibiashara zaidi na wewe prof huna wasiwasi salary inaingia kama kawa..too bad leo fans wengi watakuwa wamehuzunika!

Haiwezekani kila siku tuwe tunauza tu wachezaji bila kuziba wekaness zetu.timu hile hile miaka nenda rudi hakuna jipya kwenye ufundi wala nini.

msimu huu nashangilia pasi tu na pasi zenyewe zinashaanza kua mbovu klabda ninunue share nitakuwa nafuraha zaidi.

zalii la mentali hio.goli wala halina utamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom