House4Sale Eneo na boma lizauzwa Kibaha kwa mfipa mil. 18

Collinsteve

Member
Mar 19, 2019
88
46
Eneo liko Kibaha kwa Mfipa jirani na Sec. ya simbani . Lina ukubwa wa nusu heka, kuna boma la nyumba ya vyumba 3 ambavyo vyote ni master, seble jiko na dining.

Nimeezeka vyumba 2 na vyoo vyake tayari vinatumika, lina tank ya chini ya kuvunia maji lita elfu 3000,
umeme nguzo mbili, maji ni mita 500 KM 1 kutoka main road.

Nataka milioni 18,

0685223804

IMG_20230309_160927_9.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom