Plot4Sale Eneo linauzwa mil. 18 nusu heka lina boma, Kibaha

Collinsteve

Member
Mar 19, 2019
88
46
Jamani nina eneo langu liko Kibaha kwa Mfipa jirani na Sec. naliuza. Lina ukubwa wa nusu heka, kuna boma la nyumba ya vyumba 3 ambavyo vyote ni master, seble jiko na dining.

Nimeezeka vyumba 2 na vyoo vyake tayari vinatumika, lina tank ya chini ya kuvunia maji lita elfu 3000, umeme nguzo mbili, maji ni mita 500 KM 1 kutoka main road.

Nataka milion 18

Simu: 0685223804
IMG_20230309_161136_1.jpg
 
Jamani nina eneo langu liko Kibaha kwa Mfipa jirani na Sec. naliuza. Lina ukubwa wa nusu heka, kuna boma la nyumba ya vyumba 3 ambavyo vyote ni master, seble jiko na dining.

Nimeezeka vyumba 2 na vyoo vyake tayari vinatumika, lina tank ya chini ya kuvunia maji lita elfu 3000, umeme nguzo mbili, maji ni mita 500 KM 1 kutoka main road.

Nataka milioni 18

Simu: 0685223804View attachment 2573701View attachment 2573702View attachment 2573703View attachment 2573704View attachment 2573705View attachment 2573706View attachment 2573707View attachment 2573708
IMG_20230309_161038_5.jpg
 
Nina hati ya mauziano serikari ya Mata but ukihitaji hilo nitakusaidia nikupandie mawe zen upate hati
 
Huyu jamaa ni jirani yangu kabisa mm familia ipo mitaa iyo iyo inaishi....
 
Watu wanasisitiza sana hati, nafikiri ndio lingeuzika haraka hata kwa bei ya juu kuliko hii unayoinadi
uwezo wa kufuatilia hati sina nina shida now. atakaye chukua namuunganisha na wanaopanda mawe pale serikali ya mtaa na atapata hati
 
Mtu anauza eneo,badala mnunue mnaanza kumshauri muuzaji.mnazani yeye hajui kama hati ni muhimu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom