Email au namba ya simu ya afisa usalama wa taifa

Kamuulize mwakyembe faida za usalama wa taifa. Naamini atakwambia hao ni uadui wa taifa
 
we unajua nature ya kazi zao ni siri kama wewe unavyoshindwa kuweka mambo yao hadharani ndivyo na watu wanaojua namba zao wanashindwa kuziweka hadharani kama una issue unataka ifike kwao ni kuipost wenye contact nao watazifikisha
 
Mweee kwa maelezo yako unaonekana na wwe ni afisa usalama,tehe tehe mtajulikana tu humu JF!


Heee! Mie Usalama wa Taifa?!? Hawa watu mie sina heshima nao tena tangu walipobadilika na kuanza kutumiwa kisiasa. Siwezi kufanya kazi na taasisi inayokiuka misingi yao ya taaluma kiasi hicho. They just stoop too low.
 
Issue gani wataka ku report? Kama ni deal za watu unataka tia mchanga sikushauri ndugu yangu, utajitia matatizoni. Tanzania saiv hatuna usalama wa Taifa, tuna litaasisi la kulinda interest za mafisadi na chama tawala.
Wewe ni nchi gani umeona takukuru, na usalama wa taifa ndo vinara wa rushwa?
Narudia tena, wacha kabisa ku sniff issues kubwa afu ujifanye we ni mzalendo eti uwa expose! Unachezea kifo!
Hapo umesema.
 
Back
Top Bottom