Elirehema Kaaya na Wiliam Sarakikya kuhamia CHADEMA

Huu ni uwongo mtakatifu!.
Comon sense logic haikubali dhana ya hawa vijana kukutana na Lema Impala mahali ambapo ni open na wakapose kupigwa picha!.

CCM bado haijafanya uteuzi rasmi hivyo madogo hao hawawezi kutishia nyau!. Wana CCM wote wanajua rushwa is the order of the day katika kutafuta uongozi wowote top to buttom, sasa hiyo tisha toto wanataka wamtishe nani?!.

Picha ni picha tuu, haiwezekani ikawa walipiga zamani ila wewe ndio umeitia picha maneno ambayo sio?!.
 
Hawa ni mapacha wawili wahuni wana ajenda yao ya siri na chadema kwa lugha nyepesi tuwaite mamluki. bomoa bomoa chadema kampeni.
 
Makapi yote ndani ya CCM aka losers yanakimbilia CDM.
CCM inabaki na wale wote walio bora!
Walio bora kama Lowassa, Chenge, Rostam, Mramba....

Very good CCM, walio bora watupu.... Mtashinda chaguzi zote kwa kishindo na walio BORA wenu tehe tehe tehe...
 
photoshop.....picha ya kuunga kwa kompyuta angalia kwa makini kwa wataalamu wa picha za photoshop.
Tatizo lako mulisha zoea Photoshop za Kikwete hivyo kila ukiona picha una dhani ni Photoshop pole sana fatilia kama juzi hawa kuwa Impala hotel.....
 
Siku chache baada ya kuchakachuliwa hatimae vijana wawili Elirehema Kaaya na Wiliamu Sarakikya watangaza nia ya kuhamia Chadema kama uchaguzi hautafanyika upya.

Walisema uchaguzi uliofanyika rushwa ilitumiaka kwa kiwango cha juu sana, hivyo hawako tayari kuendelea kukaa kwenye chama cha mafisadi wanaotumia kodi ya wananchi kujinufaisha kwa faida ya familia moja wameahidi kama uchaguzi usipo rudiwa basi wana hamia chadema kwenye chama makini na kuwahakikishia jimbo hilo linaenda chadema, haya yalijitokeza usiku wa kuamukia jana baada ya kuamua kukutana na kamanda Godbless Lema kwenye hotel ya Impala ilikuangalia uwezekanao wa kuhamia Chadema.

Nilifanikiwa kujipenyeza na kuchukua picha ingawa haionekani vema.

attachment.php

Wa kwanza kulia ni Elirehema Kaaya katikati ni Kamanda Godbless Lema na kushoto ni Wiliam Sarakikya.
wakiwa kwenye kikao cha siri hoteli ya Impala Hotel.

Tena mbona wamechelewa, walitakiwa wahamie siku nyingi sio kwa vile wamenyimwa madaraka ndio wanataka wahamie, hapo wanaonyesha wanahamia kwa ajili ya madaraka. Na jimbo tutachukua watake wasitake, ndio maana kinaitwa Chama dume ambacho ni CCM, wengine ni vyama jike vinafanywa na dume kwa kadri dume atakavyo

karibuni wazee tuliokoe jimbo kwenye hili janga kuu la kuongozwa kifalme . tunahitaji demokrasia ya kweli tumechoshwa na siasa za kifamilia na hazina mpango wowote.
 
Very astonishing! I have never seen such a secretive mission as mentioned by the informer being attended by the journalist! On top of that, the agent and the principal pausing for a public evidence (photo)!

JamiiForums should revitalize its rules otherwise it is being forced to become the platform for Growing Sinkers
 
Tatizo lako mulisha zoea Photoshop za Kikwete hivyo kila ukiona picha una dhani ni Photoshop pole sana fatilia kama juzi hawa kuwa Impala hotel.....

Katika watu ambao huwa hawaaminiki humu JF hata kwa kuliko punje ya mchanga ww uwa humo, kwa mashaka na picha yako lazima yawepo makubwa sana tu
 
Walio bora kama Lowassa, Chenge, Rostam, Mramba....

Very good CCM, walio bora watupu.... Mtashinda chaguzi zote kwa kishindo na walio BORA wenu tehe tehe tehe...
Ubora wao hatuupimwi kwa mbwembe za waandishi uchwara na habari za magazetini. Tunawapima kwa kubalika kwao na jamii na utendaji wao. Kama Wanachi wa Monduli au Bariadi wanawakubali...wewe wa Dar es salaam unamkataa kwa vigezo gani?
 
Very astonishing! I have never seen such a secretive mission as mentioned by the informer being attended by the journalist! On top of that, the agent and the principal pausing for a public evidence (photo)!

JamiiForums should revitalize its rules otherwise it is being forced to become the platform for Growing Sinkers

Unalijua leo hilo, JF inazama kwa kasi ya ajabu !

photoshop.....picha ya kuunga kwa kompyuta angalia kwa makini kwa wataalamu wa picha za photoshop.

angekuwa mtu mwingine ningefikiria kuhusu mawazo yako lakini kwa sababu picha imewekwa na crushwise sina shaka nayo. crushwise ndo mtu wa kwanza kutuwekea picha za ukweli za kisiasa na kijamii. naomba usimuharibie cv tena umkome. Nyie ndo mnavunja moyo watu wanajituma. kwani watu kuhamia chadema unaona ajabu hadi mtu atengeneze picha?
 
Katika watu ambao huwa hawaaminiki humu JF hata kwa kuliko punje ya mchanga ww uwa humo, kwa mashaka na picha yako lazima yawepo makubwa sana tu

Jifunze walau kunyoosha kiswahili basi, hayo maneno niliyopigia mstari yanaonyesha hujui unachotaka kuandika, ama unajua unachotaka kuandika lakini uwezo wa kukiandika umekuwa mdogo. Kama hata kiswahili kinapiga chenga bora uandike kwa lugha nyengine tu utasomeka, hata kizaramo!!
 
angekuwa mtu mwingine ningefikiria kuhusu mawazo yako lakini kwa sababu picha imewekwa na crushwise sina shaka nayo. crushwise ndo mtu wa kwanza kutuwekea picha za ukweli za kisiasa na kijamii. naomba usimuharibie cv tena umkome. Nyie ndo mnavunja moyo watu wanajituma. kwani watu kuhamia chadema unaona ajabu hadi mtu atengeneze picha?

Ukimuona mwanaume anamsifia mwanaume mwenzake jua kuna walakini hapo. Unam defend crashwise mpaka povu linakutoka , ili hali anajulikana ni huwa ni mzushi na asiye na msimamo. Kweli ukipenda kitu utasifia kila kitu

Mimi sijasikia malalamiko yao popote au kwamba wamekataliwa na chama chao kusikilizwa. kwa akili ndogo tu hawa jamaa kama walikutana na Lema kwa bahati mbaya Impala Hotel na kupiga picha ya kawaida tu watajuta kumfahamu Lema
 
nashawishika kusema hii news ni ya kweli kwa sababu kwa mara ya kwanza nilimuona Elirehema kaaya kwenye mazishi ya mzee sumari na muda mwingi alikuwa na yule mzee wa impala............try to connect the dots.........hawa jamaa wamekutana kwa swahiba wa elirehema kaaya.
 
angekuwa mtu mwingine ningefikiria kuhusu mawazo yako lakini kwa sababu picha imewekwa na crushwise sina shaka nayo. crushwise ndo mtu wa kwanza kutuwekea picha za ukweli za kisiasa na kijamii. naomba usimuharibie cv tena umkome. Nyie ndo mnavunja moyo watu wanajituma. kwani watu kuhamia chadema unaona ajabu hadi mtu atengeneze picha?

Iache demokrasia ichipue JF. Uhuru wa mawazo ndio kauli mbiu yetu.
 
Back
Top Bottom