Elimu ya Nape Nnauye

Ndugu yangu Nape unanitia aibu. Sasa hivi kuna shule nyingi hata za distance nakushauri ungejisomea angalau ukapata Logical reasoning katika mazungumzo yako. Usishambulie watu pasipo kufikiri. CCM mnaposema na kukurupuka oohhhhhhh wengine hawajasoma mnajiaibisha. Jisomee hata kwenye mtandao upate uwezo wa ku argue my dear. Ni aibu kubwa sana kwa kiongozi kama wewe kuwa na nonsense arguments kila wakati.
 
ingekuwa pepa ya matusi NAPE ANGEKUWA NA DIV ONE YA MAANA TU... JAMAA ANA MDOMO MCHAFU UTAFIKILI HAKUZALIWA NA BINADAMU. HUWA SIJALI SANA ELIMU YA MTU LAKINI HUMPIMA KWA HEKIMA NA USTAARABU WAKE, KWANGU INATOSHA
 
Mkuu kwenye red hapo pana husika sana,alafu kuna k.i.m.a mmoja anajaribu kutetea ujinga hapa.
 
Mkuu Kyaiyembe
Kila jambo ni nia

Chama
Gongo la mboto DSM
waweza kuwa na Nia lakini ukakosa mbinu, sasa tunataka mbinu alizotumia Nape kufikia hapo alipo. Taifa lina hali mbaya sana kwa sasa acha utani Mkuu. Kumbuka kila jambo lawezekana ukilijulia mbinu zake.
 
Mbinu ni kusoma kwa jitihada ndicho alichofanya Nape Nnauye nimefurahishwa sana na jitihada zake.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Kazi ya John Mnyika itapimwa na watu wa Ubungo; ila kwetu CCM Nape Nnauye kifaa kama vile Messi

Chama
Gongo la mboto DSM
...no no noooo, masahihisho kidogo, kazi za J.J.Mnyika ni zaidi yajimbo la ubungo,sote tunajua hoja binafsi alizopeleka bungeni kwa maslahi ya taifa zima. nape wenu amefanya nini kwa maslahi ya kitaifa (na sio chama) ? ..
 
Kamanda Mnyika ana one ya point 9, Nepi 4 ya point 29!! Huyu ni failure kabisa!! Ndo maana mpaka leo anaropoka ropoka tu!! Mimi huwa namwita VUVUZELA!!
 
Verry simple, NAPE anayo masterz na Mnyika hakumaliza chuo.period

Hiyo Materz ya Nape inamsaidiaje yeye binafsi (kuimarisha busara, hekima,na uungwana), familia yake, chama chake cha siasa na maendeleo ya Watanzania kwa ujumla ?
 
Ili uifanye ufanye mtihani wa kidato cha 6 unatakiwa uwe na alama za viwango vya C na kuendelea kwenye masomo 3 kwa maana hiyo kama hauwahi kuzipata hilo alama kwenye mtihani wa taifa atakuwa alirudia masomo yake na hatimaye kufanikiwa azma yake hilo nalo pia nikufundishe!

Chama
Gongo la mboto DSM
Chama, why do you speculate? why can't you leave the task to Nape himself?
 
...no no noooo, masahihisho kidogo, kazi za J.J.Mnyika ni zaidi yajimbo la ubungo,sote tunajua hoja binafsi alizopeleka bungeni kwa maslahi ya taifa zima. nape wenu amefanya nini kwa maslahi ya kitaifa (na sio chama) ? ..

Mnyika amefanya nini kwa maslahi ya taifa hili? Mnyika hakuchaguliwa Ubunge na watu Kisarawe hivyo wa Ubungo ndio wanaojua ufanisi wa Mnyika sisi wengine hatuujui

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Nape hata kama alipata zero, tayari ana kazi yake. Kwa nini tusijadili vijana wetu waliofeli jamani na nini kifanyike?
 
Back
Top Bottom