what i know mwanzon mwa miaka ya elfu mbili alimaliza shahada ya kwanza ya UALIM UDSM.......aliporud 4 masters walimzingua,then nikasikia alienda kenya,but sijajua ni univ gan,ila ni kweli kuzungumza hawez,aliwah kuja kuzungumza na darasa la wanafunzi mia 3 lakini ilikua issue,hakua competentwadau wenye data kuhusu elimu ya huyu mh. mwageni hapa, napata wasiwasi wa elimu yake pale anapochangia hoja bungeni.
wewe umenifurahisha heb wale jamaa zake wamtonye achungulie huku jf.Duh! jF inaweza kukubakiza totally completely naked! Nyambala tepetepe!
hacha kumtetea yule ni ziro brain mwiz ana copy na ku paste cmpendi mm hata ukiangalia vitabu vyake anadanganya sana ata mwl wetu aliwai kutuambia tusinunue vitabu vyake amesoma arts haya anachambua adi physics mwanga yuleeeeeeeeeeeevitabu vyake ni vingi sana! sana! mnapochangia mjue hilo, na ameanza kuandika tangu akiwa 4m 6!
Huyu jamaa nilisoma naye Mara sec school alikuwa rafiki yangu wa karibu sana ingawa baada ya kumaliza o level yeye alienda shule nyingine na mimi kwenda shule nyingine lakini tuliendelea kuwasiliana na kuwa karibu. O level halikuwa hana uwezo kabisa alichukua masomo ya Art. Lakini alikuwa mwizi mkubwa sana wa mitihani mpaka alituletea matatizo makubwa sana kipindi hicho kwa ajili ya wizi( waliosoma mara sec school 1992-1995 watakumbuka), baada ya hapo alienda Mkwawa aliendeleza ishu yake ya wizi wa mitihani, UDSM nasikia aliendeleza ishu ya kuiba mitihani. UDSM alikuwa anasoma kiswahili.
hacha kumtetea yule ni ziro brain mwiz ana copy na ku paste cmpendi mm hata ukiangalia vitabu vyake anadanganya sana ata mwl wetu aliwai kutuambia tusinunue vitabu vyake amesoma arts haya anachambua adi physics mwanga yuleeeeeeeeeeee
Umenifurahsha sana,kwa hiyo hataki kukatupa hako ka karatasi alikokaririshwa..huyu jamaa buree kabisa, domo zege, utafikiri katoka kijijini leo hajui hata jieleza. leo bungeni ni kama alikuwa anapoteza muda tu. anachoongea hata hakieleweki. maneno hayo hayo anayaongea kila siku, itv aliyaongea hayo hayo, tbc hayo hayo. hakuna kitu pale. galasa tu lile.
Jaman tusishangae kuja kuona "BIBLE ZA NYAMBARI" maana jamaa kwa kufupsha mambo utakuta Bible ina ukubwa kama daftari za shilingi 100
Kiukweli jamaa yuko mtupu kichwani hata hiyo shahada ya kwanza ya ualimu aloipata hajaweza kuitendea haki kwani speech zake hata mtoto aloishia darasa la tatu nadhani anamshinda. Nakumbuka kuna siku alikuja pale Udsm kudeliver speech kama guest speaker kila mtu alishangaa coz jamaa hawezi kujenga wala kudevelop hoja. Alafu anapenda kujisifu sana.wadau wenye data kuhusu elimu ya huyu mh. mwageni hapa, napata wasiwasi wa elimu yake pale anapochangia hoja bungeni.
Mshikaji kiazi sana yule, leo ndio nimemzalau kabisa duh!huyu jamaa buree kabisa, domo zege, utafikiri katoka kijijini leo hajui hata jieleza. leo bungeni ni kama alikuwa anapoteza muda tu. anachoongea hata hakieleweki. maneno hayo hayo anayaongea kila siku, itv aliyaongea hayo hayo, tbc hayo hayo. hakuna kitu pale. galasa tu lile.