ELIMU YA Mh. NYAMBALI

Nawasi wasi na yale mavitabu yake! Huyu bwana hajui kujenga hoja, thats why udsm walimkataa kujiunga course ya mastarz!
 
wadau wenye data kuhusu elimu ya huyu mh. mwageni hapa, napata wasiwasi wa elimu yake pale anapochangia hoja bungeni.
what i know mwanzon mwa miaka ya elfu mbili alimaliza shahada ya kwanza ya UALIM UDSM.......aliporud 4 masters walimzingua,then nikasikia alienda kenya,but sijajua ni univ gan,ila ni kweli kuzungumza hawez,aliwah kuja kuzungumza na darasa la wanafunzi mia 3 lakini ilikua issue,hakua competent
 
Jaman tusishangae kuja kuona "BIBLE ZA NYAMBARI" maana jamaa kwa kufupsha mambo utakuta Bible ina ukubwa kama daftari za shilingi 100
 
Atakuja tu huku ana wapambe wake wanamwambia kila kitu,masters alikuja pale udsm,akamtukana supervisor wake baada ya kuchelewesha kupeleka research,jamaa akampoteza kama kawaida,kaingia kwenye siasa kutafuta umaarufu pesa anayo.
 
inakuaje awe na degree ya kiswahili halafu aandike vitabu vya biology, chemia na physcs? Mimi nazani elimu yetu inapo elekea sipo, tunatengeneza vibarua wa wazungu. Nasikia huko tarime ndo kagawa vitabu vyake shule zote za kata wilayani tarime na hata matokeo ya mwaka huu tarime ni moja ya wilaya zilizo toa o nyingi sana sababu ya vitabu vya huyu jamaa

huyu jamaa hamna asicho weza.
 
Mi niliwahi kumuuliza kipindi kile anagombea jimbo la Ukonga, anagombea ili afanye nini, akasema anataka tu kuongoza kwa nini kila siku aongozwe. Akisoma swali hili atajua mimi ni nani na akaniambia alipoteza kiasi cha 100ml jina lake lipite na akamwagwa. Nyambari umenikumbuka? Msalimie dada yako Chagwa pale kidukani mtaa wa Ukami kkoo
 
huyu jamaa buree kabisa, domo zege, utafikiri katoka kijijini leo hajui hata jieleza. leo bungeni ni kama alikuwa anapoteza muda tu. anachoongea hata hakieleweki. maneno hayo hayo anayaongea kila siku, itv aliyaongea hayo hayo, tbc hayo hayo. hakuna kitu pale. galasa tu lile.
 
vitabu vyake ni vingi sana! sana! mnapochangia mjue hilo, na ameanza kuandika tangu akiwa 4m 6!
hacha kumtetea yule ni ziro brain mwiz ana copy na ku paste cmpendi mm hata ukiangalia vitabu vyake anadanganya sana ata mwl wetu aliwai kutuambia tusinunue vitabu vyake amesoma arts haya anachambua adi physics mwanga yuleeeeeeeeeeee

Huyu jamaa nilisoma naye Mara sec school alikuwa rafiki yangu wa karibu sana ingawa baada ya kumaliza o level yeye alienda shule nyingine na mimi kwenda shule nyingine lakini tuliendelea kuwasiliana na kuwa karibu. O level halikuwa hana uwezo kabisa alichukua masomo ya Art. Lakini alikuwa mwizi mkubwa sana wa mitihani mpaka alituletea matatizo makubwa sana kipindi hicho kwa ajili ya wizi( waliosoma mara sec school 1992-1995 watakumbuka), baada ya hapo alienda Mkwawa aliendeleza ishu yake ya wizi wa mitihani, UDSM nasikia aliendeleza ishu ya kuiba mitihani. UDSM alikuwa anasoma kiswahili.

Ina maana alisoma akiwa mzee au mi namuona vibaya? maana hiyo miaka unayotaja na umri wake mbona haziendani?
 
hacha kumtetea yule ni ziro brain mwiz ana copy na ku paste cmpendi mm hata ukiangalia vitabu vyake anadanganya sana ata mwl wetu aliwai kutuambia tusinunue vitabu vyake amesoma arts haya anachambua adi physics mwanga yuleeeeeeeeeeee

Ana-copy vitabu vya watu ni kwasababu hakuna haki miliki hapa Bongo angekuwa jela sasa kwa kupiga kopi vitabu vya watu
 
huyu jamaa buree kabisa, domo zege, utafikiri katoka kijijini leo hajui hata jieleza. leo bungeni ni kama alikuwa anapoteza muda tu. anachoongea hata hakieleweki. maneno hayo hayo anayaongea kila siku, itv aliyaongea hayo hayo, tbc hayo hayo. hakuna kitu pale. galasa tu lile.
Umenifurahsha sana,kwa hiyo hataki kukatupa hako ka karatasi alikokaririshwa..
 
Jaman tusishangae kuja kuona "BIBLE ZA NYAMBARI" maana jamaa kwa kufupsha mambo utakuta Bible ina ukubwa kama daftari za shilingi 100

Umenichesha sana yani sijawai kucheka kiasi hiki kwa miaka mingi sana
 
Kwa jinsi ninavyomjua Nyambali Chacha Marimba Nyangwinde na wananchi wa Tarime ambao wameshaonja radha ya kiongozi bor naa mtu wa watu RIP Chacha Wangwe, hamna jinsi kichapo lazima mie nimeshangaa jibwa lenyewe koko.
 
Ngoja tupunguze posho zisizo na tija bungeni,watu wataacha kukimbilia bungeni kama sehemu ya neema

Jamani sijafanikiwakumwona akiongea,ninachojua kuna vitabu vingi sana vyenye chapa yake nyambari nyangwine publishers
 
wadau wenye data kuhusu elimu ya huyu mh. mwageni hapa, napata wasiwasi wa elimu yake pale anapochangia hoja bungeni.
Kiukweli jamaa yuko mtupu kichwani hata hiyo shahada ya kwanza ya ualimu aloipata hajaweza kuitendea haki kwani speech zake hata mtoto aloishia darasa la tatu nadhani anamshinda. Nakumbuka kuna siku alikuja pale Udsm kudeliver speech kama guest speaker kila mtu alishangaa coz jamaa hawezi kujenga wala kudevelop hoja. Alafu anapenda kujisifu sana.
 
hamana lile mbona kubwa zembe lisikutishe na kitambi akili yake kama ya yule mwenzake wa ccm amepewa cheo Mwigulu Muchemba yaani ccm ni kama shamba la bibi mijinga jinga inakwenda inachuma tu
 
huyu jamaa buree kabisa, domo zege, utafikiri katoka kijijini leo hajui hata jieleza. leo bungeni ni kama alikuwa anapoteza muda tu. anachoongea hata hakieleweki. maneno hayo hayo anayaongea kila siku, itv aliyaongea hayo hayo, tbc hayo hayo. hakuna kitu pale. galasa tu lile.
Mshikaji kiazi sana yule, leo ndio nimemzalau kabisa duh!
 
Back
Top Bottom