Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,323
Makamba..
1.alikuwa mwalim wa UPE shule ya msingi Lushoto....
2.AKatunga wimbo wa TANU ambao ulikuja kutumiwa sana kueneza propaganda za TANU>>>JKN alitaka kujua nani alieutunga wimbo ule....akatafutwa .........safari ikaanzia hapo...akapelekwa kivukoni.....then JEshini
3.Waliingia Depo moja na JK jeshini........Monduli kama makada wa chama...(atamfia JK na si TZ)
4.Ni mlezi na support mkubwa sana wa watoto wa Makamba.....kielemi na kila kitu...
5.Alipokuwa jeshini akawa kada wa chama...........
6.Akateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya......
7.Mwinyi akaja kumpa ukuu wa Mkoa....MG baadae KG na Dar
8.JK akaja kumpa ukatibu wa chama.......
9.Ndipo hapoo alipo...hana shule zaidi ile ya UPE na seminari.....O level
Source please!!!
lazima tumtendee haki na sio kumzushia.
lazima tukubali kuwa huyu ni mbunge wa kuteuliwa na rais hivyo mnaweza tembelea tovuti ya bunge la muungano na kuiweka CV yake kama nilivyofanya kwa Dr Slaa.