January Makamba: Tanzania katika anga la Kimataifa ina sifa na Hadhi ya Kipekee Duniani

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,900
944
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) amesema Tanzania katika eneo la kidiplomasia ina sifa na hadhi ya kipekee duniani.

Waziri Makamba ametoa kauli hiyo akifungua Kongamano la kukusanya maoni ya wadau kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya Sera Mpya ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Januari 2024.

“Ili nchi iweze kufanya mambo yake vizuri duniani, lazima iwe na ushawishi mkubwa duniani, na Tanzania ni moja ya nchi zenye ushawishi mkubwa duniani,” alisema Waziri Makamba.

Aliongeza kuwa Nchi au Kiongozi lazima ilinde utu, uhuru wake duniani na hayo yote yataonekana kupitia Sera ya Mambo ya Nje.

“Kupitia Sera ya Mambo ya Nje, nchi inapata kukuza uwezo wa kujiamulia mambo yake, na kujipambanua jinsi ambavyo itaendesha mambo yake”, alisema.

Akizungumzia kufanyiwa marekebisho kwa Sera hiyo, Waziri Makamba amesema marekebisho hayo yamelazimika kufanyika kutokana na mabadiliko mbalimbali yaliyotokea duniani kwa wakati huu na hivyo kuilazimu Tanzania kuendesha mambo yake kwa mujibu wa mabadiliko hayo.

Ametaja mabadiliko hayo kuwa ni mabadiliko ya tabia nchi, kuibuka kwa taasisi zenye nguvu, ushawishi na uwezo wa kubadilisha vitu duniani, maendeleo ya teknolojia ya Habari na mawasiliano na uwepo wa asilimia kubwa ya watanzania waliozaliwa baada ya mwaka 2001 wakati sera hiyo ilipotengenezwa.

Amesema kutokana na hali hiyo Wizara iliyona kuna haja ya kufanyia maboresho sera hiyo ili kutoa nafasi kwa watanzania kutoa maoni yao juu ya sera hiyo kwa ajili ya kuunda kesho yao na kuendana na wakati wa sasa na wakati ujao.

Kongamano hilo la kukusanya maoni lilihudhuriwa na viongozi wa serikali, wanasiasa, viongozi wa dini, wazee wa Dar es salaam, wasomi, wenyeviti wa Serikali za Mitaa Jijini Dar es Salaam, makundi ya kijamii na vijana.

Akifanya majumuisho ya kongamano hilo, Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.) alipata fursa ya kujibu baadhi ya hoja ambazo ziliibuliwa na washiriki wa Kongamano hilo.

Balozi Mbarouk amesema kuwa msimamo wa Tanzania toka enzi za Mwalimu Nyerere hadi sasa ni ule ule, haujabadilika, msimamo wa Tanzania kwa Palestina na Saharawi unajulikana vizuri na haujawahi badilika, siku zote Tanzania imekuwa ikitoa matamko yake.

Alisema tangu yaanze mapigano kati ya Palestina na Israeli, Tanzania imeunga mkono matamko yote Saba ya Umoja wa Mataifa yaliyolenga kusitishwa kwa mapigano hayo na kupelekwa kwa misaada ya kibinadamu.

“Hatujakataa azimio hata moja, maazimio yote yalilenga kusitishwa kwa mapigano hayo na kupelekwa kwa misaada ya kibinadamu tuliyaunga mkono,” alisema Balozi Mbarouk.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) akifungua Kongamano la kukusanya maoni ya wadau kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya Sera Mpya ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 tarehe 9 Januari, 2024 Jijini Dar es Salaam.

GDaJtIjbwAAHXs0.jpg
GDaJyVWasAAPQ59.jpg
GDaKFihbcAA8rvo.jpg
GDaKH20bIAE0fVg.jpg
 
WAZIRI MAKAMBA: TANZANIA KATIKA ANGA LA KIMATAIFA INA SIFA NA HADHI YA KIPEKEE DUNIANI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) amesema Tanzania katika eneo la kidiplomasia ina sifa na hadhi ya kipekee duniani.

Waziri Makamba ametoa kauli hiyo akifungua Kongamano la kukusanya maoni ya wadau kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya Sera Mpya ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Januari 2024.

“Ili nchi iweze kufanya mambo yake vizuri duniani, lazima iwe na ushawishi mkubwa duniani, na Tanzania ni moja ya nchi zenye ushawishi mkubwa duniani,” alisema Waziri Makamba.

Aliongeza kuwa Nchi au Kiongozi lazima ilinde utu, uhuru wake duniani na hayo yote yataonekana kupitia Sera ya Mambo ya Nje.

“Kupitia Sera ya Mambo ya Nje, nchi inapata kukuza uwezo wa kujiamulia mambo yake, na kujipambanua jinsi ambavyo itaendesha mambo yake”, alisema.

Akizungumzia kufanyiwa marekebisho kwa Sera hiyo, Waziri Makamba amesema marekebisho hayo yamelazimika kufanyika kutokana na mabadiliko mbalimbali yaliyotokea duniani kwa wakati huu na hivyo kuilazimu Tanzania kuendesha mambo yake kwa mujibu wa mabadiliko hayo.

Ametaja mabadiliko hayo kuwa ni mabadiliko ya tabia nchi, kuibuka kwa taasisi zenye nguvu, ushawishi na uwezo wa kubadilisha vitu duniani, maendeleo ya teknolojia ya Habari na mawasiliano na uwepo wa asilimia kubwa ya watanzania waliozaliwa baada ya mwaka 2001 wakati sera hiyo ilipotengenezwa.

Amesema kutokana na hali hiyo Wizara iliyona kuna haja ya kufanyia maboresho sera hiyo ili kutoa nafasi kwa watanzania kutoa maoni yao juu ya sera hiyo kwa ajili ya kuunda kesho yao na kuendana na wakati wa sasa na wakati ujao.

Kongamano hilo la kukusanya maoni lilihudhuriwa na viongozi wa serikali, wanasiasa, viongozi wa dini, wazee wa Dar es salaam, wasomi, wenyeviti wa Serikali za Mitaa Jijini Dar es Salaam, makundi ya kijamii na vijana.

Akifanya majumuisho ya kongamano hilo, Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.) alipata fursa ya kujibu baadhi ya hoja ambazo ziliibuliwa na washiriki wa Kongamano hilo.

Balozi Mbarouk amesema kuwa msimamo wa Tanzania toka enzi za Mwalimu Nyerere hadi sasa ni ule ule, haujabadilika, msimamo wa Tanzania kwa Palestina na Saharawi unajulikana vizuri na haujawahi badilika, siku zote Tanzania imekuwa ikitoa matamko yake.

Alisema tangu yaanze mapigano kati ya Palestina na Israeli, Tanzania imeunga mkono matamko yote Saba ya Umoja wa Mataifa yaliyolenga kusitishwa kwa mapigano hayo na kupelekwa kwa misaada ya kibinadamu.

“Hatujakataa azimio hata moja, maazimio yote yalilenga kusitishwa kwa mapigano hayo na kupelekwa kwa misaada ya kibinadamu tuliyaunga mkono,” alisema Balozi Mbarouk.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) akifungua Kongamano la kukusanya maoni ya wadau kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya Sera Mpya ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 tarehe 9 Januari, 2024 Jijini Dar es Salaam
Heshima ya Mwalimu Nyerere !!
 
Haka kajamaa kana vituko sana
 
Mista porojo kaibuka tena
 
Hivi Tanzania na Singapore ipi yenye heshima?
 
Akizungumzia kufanyiwa marekebisho kwa Sera hiyo, Waziri Makamba amesema marekebisho hayo

Mhe. J. Makamba (Mb.) akifungua Kongamano la kukusanya maoni ya wadau kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya Sera Mpya ya Mambo ya Nje

View: https://m.youtube.com/watch?v=LHaLWFsyA2A
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) akifungua Kongamano la kukusanya maoni ya wadau kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya Sera Mpya ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 tarehe 9 Januari, 2024 Jijini Dar es Salaam
Source : MFA_Tanzania
 
10 January 2024

Wasilisho maboresho ya Sera Mpya ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001

View: https://m.youtube.com/watch?v=FOVS-UV0Rtw
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sera na Mipango Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Justin Kisoka akiwasilisha andiko la sera kwenye Kongamano la kukusanya maoni ya wadau kuhusu maboresho ya Sera Mpya ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 lililofanyika tarehe 9 Januari, 2024 Jijini Dar es Salaam.
Source : MFA_TANZANIA
 
NAIBU WAZIRI Mhe. MBAROUK NASSOR MBAROUK (Mb.) AFUNGA KONGAMANO LA SERA YA MAMBO YA NJE

View: https://m.youtube.com/watch?v=maZRfyExSU8
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.) amefunga Kongamano la kukusanya maoni ya wadau kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya Sera Mpya ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 tarehe 9 Januari, 2024 Jijini Dar es Salaam.
Source : MFA_Tanzania
 
Tanzania watu wanapenda sifa za ovyo.
Kuna hadhi gani ya kipekee wakati kwa sisi wasafiri kila kukicha lazima tuombe visa katika nchi zinazotutambua kama tuna hadhi ya kimataifa?
Hadhi gani hii? Au ni kwa ajili ya viongozi na wanadiplomasia?
 
Back
Top Bottom