Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Jamani Rodriguez zimekata kwangu. Naomba msaada wenu wadau

Hata mie mkuu wangu haionyeshi sijui shida ni nini? Au wameitoa kuwa free na kuwa ya kulipia kwa sababu ya kombe la dunia. Au sababu ya kombe la dunia mkuu. Je kwenye zuku wanaipata au napo imekata?
 
Mimi mwenyewe nimefanya setting ya dish jana.. N.nikapata signal kubwa tuu nikablindi scan lakini hazishiki
 
Kama nataka kutumia dish la ft6 uelekeo wa azam(fta) lnb ifungwe eneo gani pale juu? na kwenye amos 5 @17' c band lnatumika kama ilivyo au kuna kinachotolewa?
 
Mimi mwenyewe nimefanya setting ya dish jana.. N.nikapata signal kubwa tuu nikablindi scan lakini hazishiki

kwa data za sasa zinaonesha kua wamesha hama apo....
wapo ses5... tuu

more infor nita wapa.
 
Kama nataka kutumia dish la ft6 uelekeo wa azam(fta) lnb ifungwe eneo gani pale juu? na kwenye amos 5 @17' c band lnatumika kama ilivyo au kuna kinachotolewa?

kama unataka kutumia dish la ft6 ina kubidi utumie ku yenye sifa ya c band.....
inayo weza kufungwa ktk prime focus
hofu ni kwamba dish itapinda sanaaaa...

na kama ukijidanganya eti baada ya kuipata io azam kwa dish la ft6 eti apo apo upachike ku nyingine kwaajiri ya amos5@17e.?

nikama una subirindege bandarini badala ya kuisubiri airport....

happy hunting boss.
 
Hata mie mkuu wangu haionyeshi sijui shida ni nini? Au wameitoa kuwa free na kuwa ya kulipia kwa sababu ya kombe la dunia. Au sababu ya kombe la dunia mkuu. Je kwenye zuku wanaipata au napo imekata?

kwenye zuku iko poa ila w7 haipo ..... wameitoa kwa sasa na wanampango wa kuhama sat.
pole sana.
 
Tp 11785v27500 SES5 kwa sasa ipo hewani enjoy it while it lasts. Chnl za South Africa-SABC1,2,3, eTV,KZN, .....etc.

hua sinaga imani kabisa na data kama hizi....

coz haijawai tokea izo chanel ulizo zitaja zikawa fta na kwakua ziko kibiashara zaidi io ni ndoto mkuu.
 
hua sinaga imani kabisa na data kama hizi....

coz haijawai tokea izo chanel ulizo zitaja zikawa fta na kwakua ziko kibiashara zaidi io ni ndoto mkuu.

Zilikuwa hewani kwa siku tatu mkuu. Na hii si mara ya kwanza wanazichia kwa muda fulani, mwezi February waliziachia chnl zote za STARsat kwa wiki nzima.
 
Wakuu baada ya rodriguez 1 na 2 kupotea je tutaweza kuona game ya leo fainali uefa kwa azam? Kama ndio channel gani itaonesha?
 
Mkuu Ph-25 na wadau wanaoweza kunisaidia, nime add sattelite kitika receiver ya azam na kuweka TP kazaa ila niki scan naona majina ya stesheni nilizopata ila ktk channel list hazionekani. Nikajaribu kuwaka TP katika sattelite ya AZAM ile inayopata channel za azam bado ukisearch unapata channel zao tu. Sasa mnijulishe jinsi ya kuona channel ulizaongeza kupiti new sattelite au ktk Receiver ya AZAM ni special kwa channel za AZAM tu? na vip unaweka option ya all sattelite hapo azam?
 
Last edited by a moderator:
kwenye remote yako bonyeza "ok" kisha bonyeza buttan ya " volume" kushoto mara 2 au kulia mara moja utaziona channel ulizoongeza. Nb . zipo za tv na radio za nje
 
Hata mimi nimmezipata hizo chanels 20 ila hazifanyi kazi kwa wakati mmoja na za azam, zikiingia za azam hizo haziwezi kuji save na pia za ukitaka hizo zionekane inabidi kwanza uzifute za azam
 
Azam ametengamisha channel zake na hizo nyingine hivyo ana orodha mbili , ukibonyeza remote button ya OK ukifuatia na ya volume mara mbili kushoto au moja kulia utazikuta hizo nyingine .km hazi save basi kuna tatizo
 
Ph-25 Habari za jumapili...Leo nimeingiza freq 12015 v 29950 inanipa radios only, kosa liko wap bona sipati TV channels? Natumia azam receivr
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom