Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Wakuu eeee mimi kdg nakautalaamu kuhusu ict,achaneni na haya ma chanel ya kutumia ma dish iwe ku band ama c band.kanunue smart tv yyte ambayo ina port ya lan(local area network)hutumika kwenye internet then nenda ktk network set up ya menu ktk tv yako uki serch utapata chaneli mpaka elf 4.nb hakikisha umeunganishwa na internet

wazo zuri bt kwa tz network bdo shda sana,kuna sehemu ni remotenes area ile mbaya,unaisi itawezekana.?
 
Wadau game ya liva imeisha saiz,nimeicheki kupitia rdv,chanel inayo onesha uefa,epl,bundasliga,na ligue 1,buree
 
Wadau game ya liva imeisha saiz,nimeicheki kupitia rdv,chanel inayo onesha uefa,epl,bundasliga,na ligue 1,buree

Mkuu, hiyo channel umeipata kwenye frequency/symbol rate na transponder gani? Direction ya satellite je?
 
mkuu sat zote izo zinaingia ktk lnb moja,na saiz nimetoka kucheki boli la liverpool kupitia rdv.

Dah poa mkuu ngoja nifanye mpango wa kuhama kule ilipokuwa aljazeera maana ni ngumu kwangu kurudi kwenye enzi ya dish kubwa kwani aljazeera inataka dish kubwa km studio vile
 
Mkuu, hiyo channel umeipata kwenye frequency/symbol rate na transponder gani? Direction ya satellite je?

io sat iko west,ziko sat 3 kwa mpigo,kama utatumia dish ft6 basi utaipata mpaka arabsat@5,apo ndo patam zaid kwan utakamata mpaka irib,kama una strong rcver uta enjoy game za ligi mbalimbali,kama dstv.
 
Dah poa mkuu ngoja nifanye mpango wa kuhama kule ilipokuwa aljazeera maana ni ngumu kwangu kurudi kwenye enzi ya dish kubwa kwani aljazeera inataka dish kubwa km studio vile

amos5@17 e unaipata kuanzia dish ndogo ft2 na kuendelea mkuu,hata dish za zuku ninaitika vizur tu.
 
Mkuu, hiyo channel umeipata kwenye frequency/symbol rate na transponder gani? Direction ya satellite je?

SAT YA AMOS 5 @17'E katika C band freq3626 R syr 2000,na katika KU Band sat hiyo hiyo ya AMOS 5 @ 17'E 12216 V 27500
 
SAT YA
AMOS 5 @17'E katika C
band freq3626 R syr
2000,na katika KU Band
sat hiyo hiyo ya AMOS 5 @
17'E 12216 V 27500

kama hujaelewa uliza,kama umeelewa vyema niendeleze nondo mpaka uetelsat @17@e
 
Asante sana ndugu nmepata Rodrigue 1& 2 ila hyo RDV NIMEIKOSA MSAADA TAFADHALI

mkuu rdv haipo huko iko ktk sat ya eutel 17@e angle moja na amos5 @17,bt io rodi2 ndo inaonesha boli.
 
mkuu rdv haipo huko iko ktk sat ya eutel 17@e angle moja na amos5 @17,bt io rodi2 ndo inaonesha boli.

Good napenda watu waungwana kama wewe na si wale wachafua mada. Ubarikie nami nikipata jipya nitaweka tena.
 
SAT YA
AMOS 5 @17'E katika C
band freq3626 R syr
2000,na katika KU Band
sat hiyo hiyo ya AMOS 5 @
17'E 12216 V 27500

kama hujaelewa uliza,kama umeelewa vyema niendeleze nondo mpaka uetelsat @17@e

mkuu hiyo sat ya AMOS tuna add kwenye receiver ya azam au tunabadilisha uelekeo wa dish pia nina dish la ft 6
 
mkuu hiyo sat ya AMOS tuna add kwenye receiver ya azam au tunabadilisha uelekeo wa dish pia nina dish la ft 6

hatu add ktk azam kwan uelekeo ni mmoja ila angle tofauti,ivyo nakushauri uwe na dish lingne,ft6 nizur kwan unaukika wa kupata sat tatu tofauti tofauti kwa mpigo.
 
Back
Top Bottom