Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Kwanza hiyo frequency angalia vizuri kama umeandika sawa ina miss digit moja ambayo ni 1 inabidi iwe 11192 Au 11190. Na hakikisha ume add satellite usiingize hizo kwa satellite inayotumika na azam.
ukiadd hiyo satellite unai edit pia kama degree 7° na weka east.
then save halafu scan hiyo satellite yako mpya.
utafurahia mkuu

Nashukuru, naifanyia kazi mkuu, ntakupa mrejesho!
 
Mkuu samahani, unaposema RECEIVER na DECORDER, hapa unanchanganya! naomba na msaada wa kupata hizo channel 7, how?

Kwa hapa Receiver ina maana top box inayotumiwa kupata channel zile FTA Kama tulizo kua nazo zamani kabla watu hawajahamia huku ZUKU,STARTIMES ,AZAM,DSTV zamani na zinginezo.
Kama unayo rwceiver nyumbani inaweza ikawa na jina mojawapo ya hili STRONG , MEDIACOM,MEGABOX,GULFSTAR na mengineyo.
ukiwa na receiver unaingiza tu hizo frequency zilizowekwa na mkuu huko juu.
 
Mkuu nimeingiza kama ulivonambia, shida sasa ni hii: NO TRANSPONDERS, PLEASE ADD

Ukifika kwenye satellite list itadisplay upande mmoja satellite name na upande wa kulia utaona frequencies, hapo bofya arrow ya kulia kuhamia upande wa freq then pale bofya add uingize freq zako kwenye transponder
 
Mii mpaka hapo ninafika mkuu lkn bado sifanikiwi!
 
kwa vile utakua na satellite zaidi ya moja maana umeongeza hiyo yako kwenye satellite list scroll hadi hiyo unayotaka kutumia then bonyeza mshale wa kulia chini utaona rangi bofya add utaona tp freq,pol na symborate ingiza hapo
 
Transponder naingiza namba zipi?
Symborate naingiza namba zipi?
By default Polarization inasom H, naweka ipi?
 
Azamtv kwa maoni yangu ndio runinga bora kwa zile runinga za akina mimi,kutokana na hali ya maisha ilibidi niache DSTv (baba yao) na pia Zuku nimewaacha na nimejiunga na Azam tv na sija regret hata kidogo,nafikiri ndio TV stesheni pekee ambayo utapata channels nyingi kutoka Kenya,Uganda na Zambia,pia kwa wale wanaopenda kuchkuch (I am a disco dancer) zipo station nyingi tu pia za uarabuni ndio usiseme.Kasoro niliyoiona na ambayo sina uwezo nayo ni station za kimataifa zinazotumia Kiingereza kuwa 2 tu yaani BBc na Al-Jazeera kwa hiyo kwa tuliozoea makala,habari za kimataifa inakuwa shida ,pia channel ya Nature haipo,kwa wale wapenda wanyama.
Kuhusu EPL wanatumia WBS ya uganda ambao huonyesha EPL siku ya Jumamosi tu tena ni mechi moja tuna mwisho katuni kwa watoto chanel zipo mbili tu moja ya kiarabu na mojaya kiingereza,lakini kwa kifupi kwa kulipia 12500 kwa mwezi Azam wameturahishia gharama,bado sijafikisha mwezi toka nijiunge kwa sijajua FTA kama wanaonyesha hata kama salio limeisha ingawa wameandika kuwa wanaonyesha.
 
Uko right, me mwenyewe ndo naanza maisha naona hapa nipo sahihi kitu kingine hawa jamaa wana HD channels si full HD (1080p) ila ni 720p kwangu mie nafurahia picha clear + quality sound, tuwape muda hopful hawata tuangusha, kuhusiana na FTA, wana channel 12, 4 frm tz , 4 frm kenya na 4 frm Ug
 
Mkuu dr samg...je ina stesheni ambazo zinaweza onyesha ligi mbali za mpira wa miguu ulimwenguni kama ligi kuu England??
 
AZAM TV hata kama salio linakata channel za TZ,Kenya na Uganda zinaendelea kuwa hewani.Kwa 12,500 unaiyona Value for money na labda niwashauri Azam tv waongeze package moja kwaajili EPL hata kama bei itapanda ili wapenda soka wanunue hiyo package kwa nyongeza fulani kwani ukweli EPL ni expensive kidogo.
 
Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.

UPDATE...
................................

Kama una dish la azam umelifunga na linafanya kazi vizuri,chomoa io decoda ya azam tv,chomeka receiver ya FTA{kama unatumia madish haya ya futi 6 na unaipata itv na nduguze} edit io sat ya intel 906 kwa kawaida inakuaga ya kumi na sita,alafu chagua io inayo fata ambayo ni ya 20, kisha tumbukiza frequence hizi.

12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.

kuzipata hiz channel lazima dish liwe uelekeo wa king'amuz cha azam tu au hata uelekeo wa chanel za fta kwa dish la ft 6 naweza zpata?
 
AZAM TV hata kama salio linakata channel za TZ,Kenya na Uganda zinaendelea kuwa hewani.Kwa 12,500 unaiyona Value for money na labda niwashauri Azam tv waongeze package moja kwaajili EPL hata kama bei itapanda ili wapenda soka wanunue hiyo package kwa nyongeza fulani kwani ukweli EPL ni expensive kidogo.

Baba epl azam utasubiri sana labda uwe na pesa uweze kuwa nyang'anya hati miliki superspert maana wao pekee ndo wamepewa dhamana ya chini ya jangwa la sahara zaidi zaidi hata azam wenyewe wesha kisema hicho kitu
 
kuzipata hiz channel lazima dish liwe uelekeo wa king'amuz cha azam tu au hata uelekeo wa chanel za fta kwa dish la ft 6 naweza zpata?

mkuu ft6 hupati kitu,tumia dish ndogo za ft 3, mfano azam,dstv,zuku na zile ndogo za gulf utapata,kumbuka uelekeo lazma uwe west.
 
Back
Top Bottom