Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Wadau Mimi sipati kitu, no audio, no picture ktk RODRIGUEZ zote mbili, msaada wako please!
 
ajitokeze Wa kunielekeza wadau... nipm number tuelekezane wasap hatua kwa hatua huku empty kwangu
 
Msimu huu wa Sikukuu,
Pata MPEG4 Strong SRT 4922A yenye Maujanja lukuki uweze kufurahia ulimwengu wa FTA.

Free LNB-KU HD for first 10
Customers.View attachment 212882 ImageUploadedByJamiiForums1419193313.413900.jpg

Call: 0715240140.

Price Tsh: 230,000/-
 
wakuu naomba msaada wenu nahitaji kununua king'amuzi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani mnanishauli ninunue king'amuzi gani kizuri kwa hapa Tanzania?
 
wakuu naomba msaada wenu nahitaji kununua king'amuzi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani mnanishauli ninunue king'amuzi gani kizuri kwa hapa Tanzania?

Nunua azam TV kama unahitaji kuwa na king'amuzi chenye uhakika na monthly fees ndogo. Ila kama ni mshabiki wa star tv haipo. ila channels zingine zote za ndani zipo. TBC 1,channel ten,clouds,zbc,zbc2 zamani dtv, eatv,itv,azam one ,azam two na sinema zetu. Pia utakuwa unaona ligi ya bongo pia.
 
ukitaka Ku autosearch kwenye satellite husika na sio pote unafaneje coz nahis nasearch auto search kote hapamenishinda....
sasa Ku add frequency najua na satellite najua tatizo limebak hilo

Auto search ya Azam, 1. Menu 2.shuka kwenye search 3. Press OK 4. Press OK tena kwenda kwenye satelite 5. Chagua satelite yako kwa kutumia kitufe cha kuongeza au kupunguza sauti 6. Ukishapata satelite utakayo, press Ok.
 
Hivi kuna LNB ambayo ukiweka kwenye king'amuzi cha Azam utaona Star tv na channel za mpira? Kuna fundi kaniambia sasa sijui ni kweli?
 
Jamani Mi nilikuwa napata Chanel zote za muvitv nikafuta baada ya kuwa Chanel nyingi kutokuwa zinaonesha. Niliingiza upya zimegoma kurudi. Naombeni msaada wenu.
 
Back
Top Bottom