Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,850
- 803
naomba msaada wenu wakuu nahitaji kupata "hope chanel" na "morning startv"
hope chanel ipo amos5 11137 v 30000 na morning star ni 12418 v 30000
naomba msaada wenu wakuu nahitaji kupata "hope chanel" na "morning startv"
nitumie process ulizotumia mkuu
NO hapa dish ni hiyohiyo moja la azamtv, we toa cable kwenye lnb in hapo hamishia kwenye receiver ya kawaida. Hapo ingiza frequency uliyopewa then search .
DISH NI MOJA TU
Ukirudisha dekoda yako kwenye dish ya zamani y DSTv utapata channel za DSTv, nakuhusu kuongeza channel inawezekana na zile za zamani ukaendelea kuziona pia. Jaribu pitia uzi mzima humu kuna maelekezo yote namna ya kuongeza channel dekoda ya azam tvNina receiver ya Dstv nikiongeza hizo freq inamaanisha nitaendelea kupata na zile za awali? Na je hii Dstv receiver nikiamua kuirudisha kwenye dish lake kuna lolote laweza kuharibiana au ntaendelea para Kama awali. Please help kwani I have no idea on this technology though am a fast learner
The listener
Ex Detective
tangu asubuhi ting wameachia chanel zao zoooote. 12418 v 30000.viva fta
Mimi Nina add izo Chanel nkifika mwisho nasevu je baada ya hapo nafaneje coz sizion kwrnye list....azam
Ilisolokobwe mchango wako mzuri lkn sijaelewa!tangu asubuhi ting wameachia chanel zao zoooote. 12418 v 30000.viva fta
Ikisave unatakiwa ku-autosearch tena, ila ktk satelite ambayo umeweka frequency husika.