Elimu kuhusu research

brooo

Member
Mar 21, 2015
13
2
Habar zenu wadau

Mimi ni mwanafunzi nasoma Zanzibar University, mwaka wa pili 1[SUP]st[/SUP] degree katika combination ya biology chemistry (EDUCATION) na hiki kipindi tulichonacho tumekabiliwa na ufanyaji wa research hivyo naomba msaada wenu kuhusiana na procedures zote za kufuata kuanzia tangu kwenye uchaguz wa somo na topic (ni somo gan kat ya hayo niliyoyataja ni rahisi katika researh na topic gan ambayo ni very intrested ) pamoja na yale yote yanayohusika na shughuli hii.

Ahsanteni.

TOGETHER WE CAN
 
Kwanza kosa kubwa unaloweza kufanya na litakalo kugharimu na kukupa shida kipindi chote unafanya research yako ni kuomba watu wakutafutie title au topic ya research yako (Kama hutumii desa).

Suala la msingi Unapaswa kwanza kusoma na kuelewa guideline book ya chuo chenu inasema nin kuhusu ufanyaji wa research.

Pili fanya kitu unachokipenda wewe na upo interested nacho (Nashangaa unaposema ni somo lipi kati ya hayo ni rahisi wakati wewe ndio unasoma), hivyo kaa chini fikiri kwa kina huku ukisoma vitabu na research mbalimbali ambazo zimefanywa kwenye field yako, Ili ufahamu technique walizotumia kucraft title zao na maudhui yote ya tafiti zao.

Tatu Mfahamu supervisor wako na jaribu kuangalia tafiti alizokwisha fanya na vitabu ambavyo alishaandika, na yeye ndio anapaswa kukupa muongozo wote (Sio watu JF).

Ili uweze kufanya vizuri na uwe competent kwenye research silaha ni moja tu soma sana vitabu na tafiti mbalimbali na epuka madesa na plagiarism. Research sio ngumu Is just a matter of thinking properly, read hard, have enough evidence to support your arguments from different sources and follow all necessary procedures in accordance to your college guidelines and last but not least it is suppose to be free from error.

All the best
 
asante xana 2mekupata na jins gan 2fanye

Sidhani kama nimekuelewa sana mkuu, ila muongozo wote na format yote jinsi ya kufanya vipo kwenye research guideline book ya chuo unachosoma.
Ila kama nilivyosema kusoma sana tafiti mbalimbali na vitabu ili ku'cover loop hole ya research problem yako ndio kitu cha msingi ili uje kuandika report nzuri.
 
asante xana 2mekupata na jins gan 2fanye
unaweza uka una research guidelines, ukasoma vitabu au articles zote zinazo endandana na study yako na ukawa na supervisor lakini bado ukatoka patupu., Sio Ma supervisor wote wako wapo competent kwenye research wapo wazuri na wapo wali shalo tu.. tu kuwa mtafiti mzuri inategeea sana umesimamiwa na nani katika tafiti yako ukipata supervisor mzuri na mwenye moyo wa kumuelekeza mwanafunzi utakuwa mzuri na badae utakuja kuwa mwalimu mzuri ukimpata wa kawaida utakuwa hivyo hivyo kawaida..
NOTE; tufanye huu hi ndo guidelines ya chuo chenu
  1. Background of the study
  2. Statemement of the problem
  3. Rationale of the study
  4. Objective of the study
  5. specific question
  6. CHAPTER TWO
  7. Key terms
  8. theories
  9. theory of the study
  10. Empirical literature review
  11. information Gap
  12. Conceptual frame work
  13. CHAPTER THREE
  14. Research design
  15. sampling procedure
  16. Data type
  17. Data collection tools and methods
  18. data analysis

haya mkuu anza kazi sasa huo mfano tuu wa hizo procedure za research
Kitu ambacho sija penda ni mkuu alivyosema mtu hawezi kuja kupata mawazo Jf siamini kitu kama hicho humu kuna watu tofauti wazuri na wabaya katika nyanja zote.. kama mna tatizo sio mbaya mkileta watu wakawapa ushauri wapo watakao kuponda na kukuelekeza lazima uwe mvumilvu kwa ote katika maisha uwezi kpendwa au kukubalia na wote

AKILI ZA KAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO

Mkuu guideline huwa ina mambo mengi sana ulichoweka ni sehemu ndogo sana ya yaliyomo kwenye guideline ikiwemo hadi kuandika reference na inategemea chuo chao huwa kinatumia mfumo gani, kumuambia aanze kazi kwa format uliyoitoa sidhani kama ni wazo zuri unless umeisoma research guideline book ya chuo chao vizuri na ukahakikisha ulichoweka hapo ndio kipo kwenye guideline yao, vinginevyo utampoteza at this early stage.

Na pia mwongozo wote na procedure zote za kuandika hiyo research yake inabidi azipate kutoka kwa supervisor wake sio watu wa JF, msaada anaoweza kuupata hapa JF ni kuichambua Topic yake au research problem yake kitu ambacho pia ni illegal coz inadi yeye mwenyewe aende chimbo library atoke na madini ya maana ili aweze kuonesha na kutushawishi ana uwezo gani kiutafiti.
 
Habar zenu wadau

Mimi ni mwanafunzi nasoma Zanzibar University, mwaka wa pili 1[SUP]st[/SUP] degree katika combination ya biology chemistry (EDUCATION) na hiki kipindi tulichonacho tumekabiliwa na ufanyaji wa research hivyo naomba msaada wenu kuhusiana na procedures zote za kufuata kuanzia tangu kwenye uchaguz wa somo na topic (ni somo gan kat ya hayo niliyoyataja ni rahisi katika researh na topic gan ambayo ni very intrested ) pamoja na yale yote yanayohusika na shughuli hii.

Ahsanteni.

TOGETHER WE CAN

hongera kutaka kujua ma ya utafiti

kumbuka guideline Zipo tofauti kutokana na chuo pia kutoka na program of study, pia tofauti tokana na aina ya research eg action reaearch ni tofauti kabisa na reaerch za kawaida.

pia ndugu jitahid uandae title iyotokana na interest yako, ila kwa masomo hayo biology inauwanja mpana,

pia research unayofanya kama sikosei itakuwa Educational research, so educational research haipo limited ktk masomo pekee unaweza tafuta kwenye managment, psychology, curriculum, foundation of education, etc

ni hayo tu ndugu, kama unaswali uliza.
 
Chuo chenu hakifundishi research methods? Unatakiwa kupata guideline za Chuo chako kwa ajili ya research yako na ungezipata kupitia hilo somo
 
kiukweli mdau naweza kusema kwamba bado chuo changu hakijanifundisha the way ambavyo research zinafanya kwa sababu format ya chuo chetu ni kwamba course hio inafundishwa mwaka wa tatu semister ya kwanza, na ahata hio research yenyewe inafanya mwaka wa tatu ila,sisi baada ya kuwaona wenzetu wa mwaka wa tatu jinsi wanavyohangaika,kiasi kwamba karibu semister tulonayo inaisha bado kuna watu wanakuambia research proposal bado haijapita ndo tukaona na sisi tutafute misaada nje tuianze hii kazi mapema ili kuepuka usumbufu huko mbelrni.
 
hongera kutaka kujua ma ya utafiti

kumbuka guideline Zipo tofauti kutokana na chuo pia kutoka na program of study, pia tofauti tokana na aina ya research eg action reaearch ni tofauti kabisa na reaerch za kawaida.

pia ndugu jitahid uandae title iyotokana na interest yako, ila kwa masomo hayo biology inauwanja mpana,

pia research unayofanya kama sikosei itakuwa Educational research, so educational research haipo limited ktk masomo pekee unaweza tafuta kwenye managment, psychology, curriculum, foundation of education, etc

ni hayo tu ndugu, kama unaswali uliza.
Najua kabisa kuwa hiyo siyo guidelines ya chuo chao ndo mana kama umesoma vizuri hapo juu nikawa nisema kwa mfano hiyo nd njia ya kuandika research je unaweza jua pa kuanzia research yenyewe.. kitu cha muhimu kujua research theory na practical yake ni vitu viwili tofauti unaweza ukapata A theory lakin kwenye practical ukaja lamba kalai.. so cha kumu omba mungu dogo je upate mwalimu aliye nondo kwenye tafit amini utaipenda mpaka basi lakini bahati mbaya ukija pata mwalimu wa kusema wee nenda katafute material utatafuta material mpaka utachoka mwalimu mzuri ni yule alie tayar kumu onyesha njia ya kupita ,mwanafunzi wake
 
Back
Top Bottom