Issue nyingine; amefurahishwa sana na tamasha hilo kwamba uwepo wa watu wa dini mbalimbali na kusema hicho ni kielelezo kuwa Umoja wetu na mshikamano wetu bila kubagua dini.
Alisema yeye mwenyewe katika familia yake ana ndugu wa kristo na waislamu na wanaishi vizuri. Pia alisema baada ya baba yake kufariki wao walilelewa na Baba waliekabidhiwa ambaye ni Mkristo Msabato SDA.
Na mie niliona, nikamwambia mwenzangu, hebu msikilize rais wenu!