EL; RA & AC Wamtunishia Misuli JK: Wagoma Kujibu Barua

Issue nyingine; amefurahishwa sana na tamasha hilo kwamba uwepo wa watu wa dini mbalimbali na kusema hicho ni kielelezo kuwa Umoja wetu na mshikamano wetu bila kubagua dini.

Alisema yeye mwenyewe katika familia yake ana ndugu wa kristo na waislamu na wanaishi vizuri. Pia alisema baada ya baba yake kufariki wao walilelewa na Baba waliekabidhiwa ambaye ni Mkristo Msabato SDA.

Na mie niliona, nikamwambia mwenzangu, hebu msikilize rais wenu!
 
EL kama ana akili ataachana KABISA na hizi mambo za kuwa Kiongozi CCM. CCM na EL wacheze wafanye nini EL hawezi kamwe kupewa nchi na Watanzania. Watu wawe makini ni vizuri ila mwenye kuangalia mambo yote kwa makini ni dhaihiri hii ndoto haiwezi timia.

Hawa BOY II MEN ni kama Tony Blair wa UK and Gordon Brown. Mwishowe Gordon became a Prime Minister but here EL will never become one!
 
Ni vema sote takarejea kauli ya Dkt. E. Hosea (TAKUKURU)

Ile ilikuwa ni kauli ya kweli na isiyo na chembechembe za usanii.

Akizungumza na Afisa wa ubalozi wa marekani, Dkt alilalamika kuwa Raisi hana

nia ya kweli ya kupambana na ufisadi au mafisadi. Rais amekuwa ndiye kikwazo.

Hizi taarifa zilitoka kupitia wikileaks >> Cable Viewer

Kwa haya mafupi ni vigumu kusadiki kuwa mwenyekiti anawezeza kufanya lolote kuhusu

ufisadi wa aina yoyote. Iwapo akiwa kama raisi anakwamisha jitihada, hataliwezaje jambo hilohilo

akiwa na kofia ya chama?

My feeling is, there is so much propaganda goin on everywhere in the media and even in this forum.

it is a calculated move and few can figure out that this is actually an orchestra well composed and rehearsed.
 
RAIS Jakaya Kikwete amesema amepata moyo mpya wa kuendeleza kazi ya kujivua gamba na yeye na wenzake watajitahidi kuifanya kazi hiyo kwa haki bila kumwonea mtu. Alisema alitangaza tangu Februari mwaka huu kuwa CCM itajivua gamba na sasa wameanza kuifanya kazi hiyo ingawa watu wengine wameanza kumtupia lawama Katibu wa Siasa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye aliyekuwepo katika tamasha hilo.

Kabla ya kutoa kauli hiyo katika Tamasha hilo la Pasaka, lililofanyika mjini Dar es Salaam, Askofu wa Kanisa la Assemblies of God Tanzania (TAG) Onesmo Ndegi, alisema hatua ya kujivua gamba inayochukuliwa na CCM chini ya Mwenyekiti wake, Rais Kikwete ina mkono wa Mungu. Askofu Ndegi alisema sherehe za Pasaka mwaka huu ni maalumu kwa kuwa ni mwaka ambao Tanzania itaadhimisha miaka 50 tangu Uhuru ambayo katika Ukristo inaitwa Jubilee na maana yake ni kuweka kitu huru ama kukiondoa katika mateso.

Alisema kutokana na hali hiyo, Mungu amempa ujasiri Rais Kikwete wa kujivua gamba, kitendo ambacho CCM ilikianza hivi karibuni kwa kuwaondoa madarakani baadhi ya viongozi wake wa juu. "Ujasiri wa Rais wetu ni ujasiri aliopewa na Mwenyezi Mungu pamoja na dua tunazomwombea, tunaomba kujivua gamba huko kuwe kwa ukweli na kusiishie hapo tu," alisema Askofu Ndegi.

Baada ya kumaliza kusema hayo, Askofu huyo aliomba maaskofu wengine waliokuwepo ukumbini kumwekea mikono Rais sehemu waliko na kumwombea dua ya kumpa ulinzi, ujasiri na hekina katika uongozi wake.

Lakini Rais Kikwete pia alisisitiza umuhimu wa kudumisha amani nchini na kuwataka wananchi kuvumiliana baina ya watu wa dini mbalimbali na kutowasikiliza watu wanaohubiri habari za udini kwa lengo la kutaka kuleta mafarakano nchini. Tamasha hilo ambalo Rais Kikwete alikuwa mgeni rasmi, lililenga kuchangisha fedha za kusaidia yatima, watu wenye ulemavu na mahitaji kwa wanawake wasiojiweza.

Source: HabariLeo
 
Naifuatilia hii prison break kwa makini sana. Huyu scofield (RA) machachari sana. Let's hope General (jk) atafanikisha
 
PM thanks for proving my hypothesis huu ulikuwa mtihani wangu wa PhD ya unabii ambapo proposal niliidefend three years ago; nadhani degree yangu karibu naiweka mkononi bado niko kwenye mwaka wa mwisho kabisaa na imebaki defence tu! I said hii ngoma hakuna wakuipangua iko well articulated kiasi kwamba hata wasiojua kuwa wako vitani wamekamata silaha ndogo ndogo na wako wamemweka adui (Ufisadi) katikati. Niliwasaidia na theory lakini inaonekana luga nayo iongea ina very high pitch kiasi kwamba wengi wanasikia kelele tu they can not perceive what I mean.

There is no way fisadi yeyote atakatiza hii ni tsunami mathematics hapo hakuna forumula itakubali nimesimama kabisa na miguu yangu yote grounded kwamba hakuna mvua kunyesha mpaka kwa neno langu kama Elija aliweza who am I to fail to do the same? Hapa anayeweza kupambana na mimi katika haya ni the opposite way ni labda Yahaya na wale wenye weak powers like him ambao nyote nimashahidi these days nimetoboa macho yake na kung'oa antena zake zote anaona chenga chenga tu kwenye tv zake zote na watazamaji wake wanamuuliza mzee vipi mbona picha imekataa kucheza?

Mbaya zaidi nimesha mwaga na petrol kwenye nyumba yao hapo sasa mwenye kuweza kuchomoka kupitia madirisha yenye gril ajaribu kama siyo wote wataangamia kwakukanyagana wakigombea kutokea mlango ambao ndiko petrol ilikoanza kuwashwa. I belong to neither camp ila ile inayopinga ufisadi kwa nguvu zao zote akili yao yote na kwa mioyo yao yote. And by this Taifa litaanza upya baada ya michanganyo mingi and come up with a gud governance ambayo haijalishi is from which party! Ningekuwa mimi ndiyo ninyi ningejiuunga kuimba praises and worship songs ili Alfa na Omega bwana wa vita amalizie kazi aliyoianza; Glory and honour be to our God the almighty whom I am not ashamed to be called his Prince. This is the word from your gospel preacher!

Glory honor power majesty be unto you my God......!
 
The Boss hii post yangu itakupa majibu ya who am I

Glory to the name above all Jesus, son of the living God
 
Counting my blessings...Glory honor and power belongs to you forever AMEN!
 
To God be glory...Am celebrating my two years of victory!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom