Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
kabahatisha au?Hivi n'nani aliyefunga bao upande wa timu ya yetu?

Sio mbaya 5-1 tumejitahidi na uzoefu tumepata. Dawa ya hao wamanga ni kuwaleta pale shamba la bibi lazima tuwalize. Nasikia Canavaro wamemdrop kwa kukaidi agizo la msemaji wa TFF pale alipobadilishana jezi na Etoo!

Dawa ya wamanga ni Simba tu... Maximo kapanga Yanga watupu unategemea nini?

Kichwa ngumu Maximo hovyo anatupotezea muda na kututia aibu. Bora hata Jamhuri Kihwelu `Julio`