Egypt vs Tanzania Nov 5, 2009

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Guys,

Tanzania will be playing with Egypt today (Thursday 21:05 CET) in an International friendly match at Cairo International Stadium. What's your prediction?
 
Leo kichapa tu kwa Mafalo tena wamejipendekeza kuwafuata huko huko Golikipa atakuwa nani yule aliye hongwa na Simba Shaban Dihile wa JKT leo atakunywa nyingi si chini ya 5.
 
Tutafungwa si chini ya goli 3 ,labda wachezeshe rizevu
 
This friendly match it will boost the confedence of the our National team doesnt matter hw the game will end up,( Win, drawn & loose ) these are only the result,
 
Matokeo yoyote watanzania ninaomba tuyapokee, chamsingi kukiangakia ni kiwango cha timu yetu kimeongezeka? sio kuangalia timu itafungwa magori mangapi, linganisha kmbe la dunia kati ya GERMANY na SAUD ARABIA.Matokeo German 8-Saud 0, lakini game zlizofuata ilibadilika sana, Tuangalie timu yetu imebadirika kwa kiwango gani?
 
haha haaaa! Mkuu Mabina umenifurahisha sana, matokeo gani mengine unayotegemea zaidi ya Kisago?

Cha msingi ni kupima uwezo wa timu yetu hapa tuone tumefikia wapi!!!!!
 
I dont think the end-purpose of this match is to win. Egypt have turned down invitation to play German's as they need to test their new skills with a relatively weaker team. Tanzania on the other side will boot their confidence as a team and players.
 
Kwanini tusijipe matumaini ya kushinda ama kutoka sare!! inamna hatutaweza fanya vizuri daima hata kama hao wa misri ni timu nzuri kiasi hicho, tukikata tamaa daima tutaendelea kuwa wamwisho. Mimi natabiri hii mechi ya leo tutashinda goli 1-0, Watacheza kwa kujiamini na kujipanga vyema kama tulivyo wafanyia wakameruni.MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU WABARIKI TAIFA STARS!!!
 
Leo kichapa tu kwa Mafalo tena wamejipendekeza kuwafuata huko huko Golikipa atakuwa nani yule aliye hongwa na Simba Shaban Dihile wa JKT leo atakunywa nyingi si chini ya 5.

[Kaka FIDE usiwe na mawazo finyu, knavitu vya kuzingatia, kabla hjatabiri matokeo hebu geuka nyuma uangalie timu tunayocheza nayo then linganisha viwango vyao. Yamewekwa miringoti kwa ajiri ya magori na kwenye mpira kna matokeo ya aina tatu nayo n kufanga, kufungwa na droo, yote hayo ni matokeo ktk mpira haijarish unacheza na timu gani. Na tim yetu bado changa so matokeo yoyote ni lazma tuyapokee, kafungwa BRASIL ije leo tshangae Tanzania kfungwa!!!!!!? Unapoenda kupambana usiogope kupigwa kaka,
 
Sijaelewa lengo la Wamisri kutaka kujipima na 'sisi'. Hivi ni kweli

a. kiwango chetu kimepanda, (maana ni muhali bingwa wa AFrika kutaka kujipima na kibonde)
b. au Mmisri anatafuta punching bag nene isiyoumiza?

Nisaidieni hapa.
 
Kwenye group lao la WC kuna Rwanda na Zambia - ambazo zina viwango na aina ya soka kama letu.

Pia huko nyuma kwenye club tournaments, clubs za Egypt zilishawahi kufungwa/kutolewa na Simba
 
Umezungumza zinga la pointi, mwanawane!
Hawa Egypt tunaouwezo wa kuwachapa kabisa. Kilichofanywa na Simba(Tanzania) mbele ya Zamelek(Egypt)miaka ile ya nyuma kidogo, Simba ikaitoaZamelek huko huko kwenye backyard yao kwenye kombe la mabingwa Afrika, Stars pia oinaweza kuwakunyuga hawa...Yes, they can!
 
Back
Top Bottom