Egypt vs Tanzania Nov 5, 2009

We Need Ivo Mapunda

We Need Ahmad Amasha

We Need Jelah Mtagwa

Hahahahahahahahaha sababu mlima!

Bwana wee,tunakoelekea kila mtu ataneed anayemtaka.Tutawaneed hadi marehemu sasa,akina Hamis Gaga,Justin Mtekele,Celestine Sikinde Mbunga...lol
 
Tatizo Maximo kapanga kanda2 watupu! waliofungwa hapa Yanga wala sio stars ngoja nikate laga yangu mie aaah ishakuwa taabu
 
Hapana cha msingi si kushinda au kushindwa ila kuwajenga vijana wetu uwezo wa kujiamini kuliko kila siku kucheza na timu ambayo uwezo wake either upo chini au sawa na sisi. All the best Taifa star!!!
 
Unajua tunacheza na timu B sasa jamaa wamebadili wachezaji karibu wote wa kipindi cha kwanza. Vinginevyo ingeshakuwa double digits
 
Unajua tunacheza na timu B sasa jamaa wamebadili wachezaji karibu wote wa kipindi cha kwanza. Vinginevyo ingeshakuwa double digit

Hahahahah najichekea tu jamaa wametupiga mkono.....! Wacha nishabikie Chelsea sina uzalendo kwa soka letu
 
Hahahahah najichekea tu jamaa wametupiga mkono.....! Wacha nishabikie Chelsea sina uzalendo kwa soka letu

Nafikiri Hassan Shehata aliona kuwa hakuna haja ya kuchezesha mashine zake na kuutusi mchezo wa soka kwa kumpiga mtu double digits. Ila Kipindi cha pili tumeonesha uhai fulani.
 
Nafikiri Hassan Shehata aliona kuwa hakuna haja ya kuchezesha mashine zake na kuutusi mchezo wa soka kwa kumpiga mtu double digits. Ila Kipindi cha pili tumeonesha uhai fulani.

Uhai? si tungefunga basi....
 
miye sina presha hata kidogo nasubiri kombe la dunia lianze nipo kwa Diego na Messi,nikifungwa nipe pole...habari na stars sipo kabsaaa sitaki ugonjwa wa moyo miye.
 
Back
Top Bottom