Egypt vs Tanzania Nov 5, 2009

Sio mbaya 5-1 tumejitahidi na uzoefu tumepata. Dawa ya hao wamanga ni kuwaleta pale shamba la bibi lazima tuwalize. Nasikia Canavaro wamemdrop kwa kukaidi agizo la msemaji wa TFF pale alipobadilishana jezi na Etoo!
 
Mara ngapi vilabu vya misri vinakuja hapo hapo kwenye shamba lenu na mnafungwa?
Mi naona dawa ni hii, fukuza wote hao, kuanza upya si ujinga.

Kocha mliemleta awafundishe soka yeye anaigizo maigizo ya kiswahili, sasa je mtavuna nini kama c bange?
 
Sio mbaya 5-1 tumejitahidi na uzoefu tumepata. Dawa ya hao wamanga ni kuwaleta pale shamba la bibi lazima tuwalize. Nasikia Canavaro wamemdrop kwa kukaidi agizo la msemaji wa TFF pale alipobadilishana jezi na Etoo!

Dawa ya wamanga ni Simba tu... Maximo kapanga Yanga watupu unategemea nini?
 
Kichwa ngumu Maximo hovyo anatupotezea muda na kututia aibu. Bora hata Jamhuri Kihwelu `Julio`

NO...
Itakuwa mnatoa afadhali mnaweka potelea mbali.
Jamhuri akafundishe kariakoo lindi, mji mpwapwa, coz yeye kambini huwa anafundisha nyimbo za mipasho badala ya soka.
 
acheni wafungwe ndo uzoefu. me nakumbuka senegal miaka ya 1992 kombe la africa ilikua tim yakupigwa nne na tano ila wakaimprove sana coz ya uzoefu. Ila kitukingine hatuna wachezaji wenye miili ya kimpira, nacho hicho ni cha kukiangalia.
 
Tuwe realistic kidogo hivi kuna watu walitegemea Taifa Stars wangewafunga Pharaohs?
 
Football imetushinda wa TZ naona bora, tujikite kwenye michezo mingine, kama vile ngoma za utamaduni, riadha, nk.
 
Kocha miaka 3 hana First 11
Kocha miaka 4 kashaiita zaidi ya wachezaji 700
Sio kila mchina anaweza kuwa Bruce lee
Sio kila Kocha mbrazil ni Carlos alberto Perreira
 
Muungwana akikata safari zake mbili za majuu mshahara kumlipa kocha wa daraja A (Pereira, Scolari, Lippi et al) utapatikana.
 
Naona kuna tatizo hata la kipa. Hivi Kaseja kamfanya nini hasa Maximo mpaka anamwacha wakati ndiyo kipa mzuri. Huyu jamaa aondoke tu!
 
Ka-Rwanda kanamuajiri John Barnes yule wa Liverpool(1984-1996) kama kocha wa taifa...sisi na huyu maximo
 
Tafuteni kuna thread alirusha Invisible mm nilitabili lazima tupigwe goli nyingi sasa yametimia
 
1-Ally Mustafa(Baltez)45/Shaan Dihile 2-Ntobe 3-Juma Jabu 4-Yondan 5-Sued 6-Amour 7-Ngasa/Mrwanda 8-NURDIN 9-Boko/Tegete 10-Mgosi/Kigi Makasi ndio aliyefunga goli 11-Nditi
 
Back
Top Bottom