Na hii ndo pointi haki!!!!!Huwa kila mwaka tunasifia ooh misoji mkal,pasco mkali,walter mkal bt at th end of the day wanadisappear...hakuna kipaji wanachovumbua bss wanachofanya ni kutafuta bingwa wa kukariri miziki ya wengine na kuitema kama ilivyo...so until watakapolitambua hilo watagundua true talents in music
Hivi juma4 Idd yupo wapi?
Nadhani kunahaja kujua washindi waliopita wanayapi wameyapata kutokana na hili shindano.
Hivi juma4 Idd yupo wapi?
Nadhani kunahaja kujua washindi waliopita wanayapi wameyapata kutokana na hili shindano.
Wote mbulula tu,hawa wanaoachwa wakiwa na vipaji ni wapi na mbna atuwasikii?akuna cha wakwanza wala wa 8,bss kwa ujumla wake ni mbulula. shndn mwnz mwsho wanacpy nymbo za w2 unategemea nini,ni kama mwanafunz alie zoea kuangalizia darasan,atafaulu vizur masomo yake lakn practicaly atakua hana k2,
Salma ni kipaji cha ukweli natamani sana aende Tusker Project Fame pamoja na Nsami, Walter na Salma wote ni wasanii wakali cz mshindi lazima awe ni mmoja ndo maana walter kapita, ila kivocal na ala za mziki Salma moto wa kuotea mbali.
Kwa mara ya mwisho alikuwa dereva tax pale Kituo cha Sayansi akitumia gari alilopata kwenye shindano la BSS. Kwa ujumla shindano hili ni la mwandaaji kuchuma fedha tu kutoka kwa Sponsors na si kuendeleza vipaji vilivyoibuliwa.
Jiulize akina Paschal Cassian, Jumanne Idd mwenyewe, Misoj Nkwabi, Leah Muddy, Rogers na wengine lukuki waliotoka kwenye shindano hilo wako wapi? Jibu ni rahisi tu wamepotea. Hakuna strategy za kuwa manage wasanii baada ya kuwa wametoka kwenye shindano.
Wewe unamtoa kijana kijijini Sigimbi au Masanzakona, Magu then unamleta mjini unamuacha kwenye mataa au mikononi mwa akina Ruge unategemea nini? Kifo tu.No air time for their song, no artists management. Shindano halina maana kubwa kwenye kuendeleza vipaji unless they sit down and think something new for the artists after the finals.
I choose to disagree with you on one point, yes wote ni wakali but vocally Salma yuko chini zaidi ya wote she is monotonous, she can not hit higher notes ndo maana alishauriwa na Jay aimbe nyimbo za size yake, vocal range yake ni ndogo, ni kweli anapiga gitaa poa sana, but Vocally Nsami was far better than Salma!!! Walter deserved to win he is realy a vocalist.... try kusearch youtube their previous perfomance from auditions then u'll notice the truth!!