EAST AFRICA STATISTIC TRAINING CENTER!!

MTEULE 05

Member
Sep 27, 2021
22
30
Habari wakuu, nimepita mtandaoni nikakutana na hiki chuo kinachoitwa "EAST AFRICA STATISTIC TRAINING CENTER" Chuo hiki kipo DSM miongoni mwa kozi nilizoziona ni OFFICIAL STATISTICS pamoja na DATA SCIENCE!! Naomba mwenye ABC za chuo hiki kuhusu uhalisia wa chuo na utoaji wa masomo kwa ngazi ya shahada na mazingira kwa ujumla ya chuo hicho!!
Natanguliza shukuran!!
Maendeleo hayana chama!
 
Back
Top Bottom