King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,697
- 68,685
Hongera Tido M.
Sijaona hoja ya kum,wanzishia thredi huyu mtu.
Ivi si ndio huyu aliyezima matangazo ya chadema live siku ya ufunguzi 2010?
Kwanini ana-make head line kila wakati?
kwa huu ndio ukweli?Kuna member mmoja muongo humu Jamvini alituambia Dustan Tido, bosi mpya AL Jazeera.
...Mkuu hata huu Uzi nadhani ni mapema kuuamini kama ni kweli kwa sababu hatuna Source inayoeleweka. Hilo la Tido kuchukuliwa Al Jazeera lilianzia mitandaoni na akakanusha mwenyewe Tido kwamba sio kweli.Kuna member mmoja muongo humu Jamvini alituambia Dustan Tido, bosi mpya AL Jazeera.
Kutoka Aljazeera (EA) to Mwananchi Com, anyway makao makuu yote yako Nairobi..............................