Dunstan Tido Mhando Mkurugenzi Mpya Mwananchi Communications Limited

kama kawaida yetu, watendaji wazuri sisi hawatufai, acha akatumiwe na wenzetu, lakini hayuko mbali sana kwani gazeti la mwananchi tunalo hapahapa, na magamba hawana ubavu wa kulifungia
 
Kuna member mmoja muongo humu Jamvini alituambia Dustan Tido, bosi mpya AL Jazeera.
 
Sijaona hoja ya kum,wanzishia thredi huyu mtu.

Ivi si ndio huyu aliyezima matangazo ya chadema live siku ya ufunguzi 2010?

Kwanini ana-make head line kila wakati?
 
Kaka Tido naye umri umesogea machweo, nakumbuka alivyoondoka BBCSwahili alisema umri umekwenda na anakwenda nyumbani kujiandaa na maisha ya ustaafu, sasa haya ya ajira vipi?!.
 
Sijaona hoja ya kum,wanzishia thredi huyu mtu.

Ivi si ndio huyu aliyezima matangazo ya chadema live siku ya ufunguzi 2010?

Kwanini ana-make head line kila wakati?

alipigiwa simu na mkuu wa kaya azime halaka hata ungekuwa wewe ungefanyaje
 
avatar40496_1.gif
 
Kuna member mmoja muongo humu Jamvini alituambia Dustan Tido, bosi mpya AL Jazeera.
...Mkuu hata huu Uzi nadhani ni mapema kuuamini kama ni kweli kwa sababu hatuna Source inayoeleweka. Hilo la Tido kuchukuliwa Al Jazeera lilianzia mitandaoni na akakanusha mwenyewe Tido kwamba sio kweli.
 
Ni mkurugenzi ntendaji wa ALJAZEERA SWAHILI, iliyoanzishwa hivi karibuni na makao makuu yake yapo Nairobi, Kenya.Kituo hakijaanza kurusha matangazo ndo kiko kwenye hatua za mwisho za maandalizi. Labda ameacha kazi ALJAZEERA.
 
Inasemekana ya kuwa TIDO MHANDO aliyekuwa mkurugenzi wa pale TBC amepata shavu la kuwa mkurugenzi wa mwananchi comm ltd,wenye habali kamili mtujuze hapa.
 
Finally, tunarud kwenye maraha, tbccm wamefukuza ata comed baada ya kusema ukwel. Saiv wanatangaza ziara za viongoz 2. Abood tv na redio yake wanamuoneshe abood hata akienda sokon, yaan ccm ni aibu saiv. ALL DA BEST TIDO.
 
Kutoka Aljazeera (EA) to Mwananchi Com, anyway makao makuu yote yako Nairobi..............................

Mkuu hii iko chini ya Nation Group of Companies ina vyombo vingi vya habari hapa East Africa. The Monitor, Citizen, Nation newspaper, BUKEDE, Nation TV, Mwananchi, The East African, nk. Ukumbuke pia kwamba ni moja ya Makampuni ya Ag Khan. Hivyo si kitu kidogo hicho.
 
Dah,
Naona kama usimamizi wa Redio/Tv unatofautiana sana na Usimamizi wa Magazeti.
Anyway, yetu macho Na masikio
 
Back
Top Bottom