Dunstan Tido Mhando Mkurugenzi Mpya Mwananchi Communications Limited

MCL wanafungua TV baada ye mwakani kwa mitambo mipya ya Digital nimaandalizi!!
 
safi sana mwana mapinduzi wa ukweli. tutegemee habari za ukweli bila kuchakachua

taarifa hiyo ni ya kweli.cloud fm kupitia kipind cha jahazi wametoa taarifa hiyo ni kweli....hakuna wa kupinga Tbc ilngara kwa sababu ya tido.ngoja haende wao walzani wanamkomoa kumbe ndio wanaiiua tbc.
 
Wakuu yule mhandishi wa habari mwenye weledi wa juu kabisa(Tido Mhando)ambae alikuwa top pale TBC na kung'olewa na Magamba kutokana na kuwa fair kwa vyama vyote ktk uchaguzi uliopita, atimae amechaguliwa kuwa boss mpya wa mwananchi communication.
My take:This is the best deal Mwananch communication has secured, the man is really great and no doubt he'll take you to the next level.Tido this is another chance for you to fight for this country and we're all supporting you.ALUTA CONTINUE TIDO!!
 
Nami ndo nimeiona hii sasa hivi. Mwananchi wamepata jembe! Jamaa alikuwa kimya sana.
 
Pongezi kwa Tido; namtakia ufanisi uliotukuka katika utendaji wake wa kazi.
 
Wakuu yule mhandishi wa habari weledi wa juu kabisa(Tido Mhando)ambae alikuwa top pale TBC na kung'olewa na Magamba kutokana na kuwa fair kwa vyama vyote ktk uchaguzi uliopita, atimae amechaguliwa kuwa boss mpya wa mwananchi communication.
My take:This is the best deal Mwananch communication has secured, the man is really great and no doubt he'll take you to the next level.Tido this is another chance for you to fight for this country and we're all supporting you.ALUTA CONTINUE TIDO!!
 
Tupe uhakika wa huu uzi. ulivyosema muhandisi i got shocked.source pls. if yes mwananchi watakuwa wametisha.
 
vipi kuhusu aljazeera-Swahili? nlisikia ameajiriwa huko, na wanategemea kuanza kurusha matangazi mwaka huu!!! I see the sun rise again, thanx GOD
 
Sasa Tido tuanze na CCM baada tu ya kuingia ofisini..tuhakikishe kuwa wanajua sisi ni akina nani.Hili ndilo jembe.
 
Hizi ni habari njema kwa sisi wapenzi wa majarida ya mwananchi communication.
 
Tido aliibadilisha TBC na kuifanya ya kisasa na kuondoa uozo uliokuwepo. Naamini popote aendapo atafanya vyema kama atapewa ushirikiano. Kama kweli mwananchi wanamtaka kutakuwa na umuhimu wa kubadilisha house policy yao ili angle za habari zao ziendane na mahitaji na speed ya Tido Mhando
 
Wadau, taarifa nilizozipata punde ni kwamba, Mkurugenzi wa zamani wa TBC, Dunstan Tido Mhando ndiye amelamba ajira ya Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications limited na kwamba anatambulishwa rasmi kesho Ijumaa.Mhando anachukua nafasi ya Sam Sholei aliyemaliza muda wake mwaka jana.

SAFI SANA WENZETU WAKENYA WANAJUA KUYATUMIA MAJEMBE( Si mnajua mwananchi corp ni ya wakenya na ndio maana inavutia zaidi ya kampuni za magazeti yetu)!!!

 
Hao wanaokwambia uanze namchakato majimboni tena wanakushauri uanzie Arumeru!Waangalie sana,Sasa unawekewa ***** kwenye taulo!
 
Back
Top Bottom