Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,741
As matter of fact, alitakiwa kuwa na media house yake given uzoefu na exposure aliyonayo vinginevyo sio sahihi kuendelea kuajiliwa kwa umri wake. Some thing is wrong kwa huyu mzee na wazee wengine wa wazamani, wamepiga sana hela na hata biashara serious wameshindwa kuanzisha matokeo yake wahindi wanaanzisha kila kitu na wao wanaajiriwa tena.
Hatari yake imedia imeshikwa na watu wasi stahili.
Haya mwenzetu hebu tufahamishe una shughuli gani yakutolea MFANO, ili na sisi tuje tukajifunze kutoka kwako? Unajuwa kibinadamu ukiona watu wengi wanampongeza mtu, basi hata kama unataka kum-critisize una-hold your FIRE mpaka hapo baadae na inakuwa even better ukimu-address yeye mwenyewe in CAMERA au E-Mail.
Wana JF wengi wanampa ongera TIDO wewe tu ndiyo unamuona kapotoka - kwani unafikili TIDO anaganga njaa! Kumbuka watu wengine wana hulka ya kupenda sana fani zao bila kujari UMRI. Huko sahihi kwa kuwa-concern waswahili kushindwa kuanzisha media house ZETU, si hilo tu hata viwanda; kumbuka hivyo vyote vinahitaji mtaji mkubwa sana kufanikisha.
Mimi nina uhakika kwamba, tukiwa na ushirikiano na mitaji ya kutosha, yote yanawezakana kinacho hitakija ni commitment na kuwa focused,tusisahau kujifunza kutoka kwa wenzetu wa bara la ASIA waliofanikiwa sana.